Msaada: Jeshi la polisi linashtakiwa wapi? kwa nani?

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Mihimili mikuu mitatu ya dola ni executive, judiciary na legslature. Sasa hawa polisi wao wana fall kwenye judiciary. Nikitaka kushtaki chombo hiki (polisi) naanzia wapi manake kesi zote jalada lazima lianzie polisi.... inakuwaje hapa? Na kila mhimili hauruhusiwi kuingilia kazi na maamuzi ya mwenzie.

Thanx in advance.
 
hapana jeshi la polisi ina fall kwenye executive na sio judiciary, halaf ukitaka kushtaki unamshitaki IGP na unamuunganisha AG, na majalada unayosema yanaanzia polisi ni kesi za jinai na huwezi kustaki jeshi la polisi kwa makosa ya jinai ni madai tu.
 
Thanx, naona process ni nzito sana, ntagonga mwamba. Ngoja nijikalie tu mnyonge mie. Sikawii kubambikiwa likesi.
 
Back
Top Bottom