Billioni 48 upotevu - Uchaguzi??? Chama twawala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Billioni 48 upotevu - Uchaguzi??? Chama twawala?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Apr 16, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Watanzania wanaishi kama shida na taabu za umasikini mkubwa sana.

  Watanzania wengi hawajui kesho, jana afadhali.

  Zitto amefichua na ametuambia watanzania kuwa kuwa ujanja ujanja kwenye hela za kufidia makampuni.

  Inasemekana makapuni hewa yamepewa zaidi ya Billion 48....

  Sasa hao waliojivua gamba, ndo wenye serikali. Wanatakiwa wathibitishe kuwa hawakuzitumia kwenye uchaguzi.

  Hao wenye magamba, hawawezi kushinda bila ufisadi, What a political party, shameeeee on you all....

  Wanafunzi wa vyuo vikuu wanahangaika kujaza form za mikopo, why Mikopo Tanzania? Kwa nini wanafunzi mikopo, ajira iko wapi afterall???

  Hao vigogo na mawaziri walisoma bure, leo wanafuja billion 48 ....aibu..

  Wanafunzi wa vyuo vikuu wangesoma bure... Hey University students shout please... Wanafunzi Vyuo vikuu piga keleleee...
  Wanafunzi wa vyuo vikuu ndo vijana ambao wataiweka Tanzania pazuri kesho.. Hata mikopo yenyewe inatolewa kwa mafungu, ubaguzi...

  Wanafunzi secondary wanafeli, kisa hakuna vifaa vya kufundishia na walimu hakuna hey watanzania piga keleleee...

  Watu wanakimbia fani ya ualimu, kisa mshahara kidogo... Walimu walipwe sawa na TRA ili watu wakimbilie ualimu.

  Tena inatakiwa walimu walipwe vizuri kuliko TRA ili walimu waliofaulu vizuri masomo wakafundishe ili kuongeza ufaulu..

  Hospitali hazina dawa....

  Mikataba feki, madini yachukuliwa kwa ndege ---10%

  hey Watanzania tupige keleleeee
   
 2. A

  Alexander Chami Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa kutuelewesha, tatizo ni kwamba jamaa wa CCM wameweka pamba masikioni. Hawatishiki na kelele zetu, sasa tunatakiwa kuwa kikazi zaidi yaani kudai kilicho chetu kwa namna yoyote ile maadam ni chetu
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hoja yako imeenda shule sana
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  good analysis
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Yaani hawa Vigogo wa Chama Twawala bwana, wavivu kufikiria kabisa...

  Sasa wanafikiria wakiwahadaa Watanzania kuwa wamejivua gamba ndo Wananchi watawapenda?

  Watanzania wanataka 'tangible' economic benefits, watanzania wanataka unafuu wa maisha.

  Watanzania hawataki bla blaaa wakati maisha yanaendelea kuwa magumu...

  Kwanza serikali ijivue gamba, mawaziri kadhaa wajiuzulu kama vile Mkulo, Wasira,mwinyi Junior, Ngeleja.

  Kodi ipunguzwe kwenye bidhaa za ujenzi kama cement, nondo, mbao ili watanzania wajenge. Pia kodi ipunguzwe kwenye mafuta ya diesel, mafuta taa, sukari na mafuta ya kupikia.

  Hawa CCM bwana, badala ya kufikiria jinsi ya kutatua kero za wananchi na kuondoa umasikini wao wapo kwenye kujivua gamba na uraisi 2015 (Nipashe msekwa).

  Vijana wa Tanzania sasa wamekata tamaa

  Hao UVCCM ni watoto wa Vigogo tuu, hawana grassroots kabisa...
   
 6. p

  plawala JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati inapitishwa bungeni, mshiko wa stimulus package,baadhi ya wabunge makini waliitahadharisha serikali iweke utaratibu unaoeleweka ili hizo hela zisiingie ktk mikono ya wajanja,lakini serikali haikusikia zile hoja,kwa hiyo ilikuwa inafahamika tangu awali zingeliwa kama ambavyo hela zetu nyingi zimepotea kwa mtindo hu huo.
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tupo maelezo ya kina Bilion 48 zimeibiwa vipi naona stori iko juu juu sana!
   
 8. n

  niweze JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wako dodoma na sitashangaa wanatumia bajeti ya serikali.
   
 9. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  nakushauri usome magazeti ya jana au juzi --- zitto kabwe mbunge wa chadema- kigoma ndo alifichua.

  Soma nipashe, mwananchi.
   
 10. I

  Imaam Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli CCM ni mabigwe wa kufuja fedha, mi nakubali kabisa kuna jamaa namjua amelipwa 1.6 bilion kwa ku supply kivazi kimoja ambapo sasa ivi hakina kazi.
   
 11. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Dhana ilikuwa ni kuipeleka huko kwenye mifuko ya wajanja. Kama tulipigwa mazingaombwe vile mpaka mchezo umeisha ndio tunagundua makosa.
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii nchi tumeiweka rehani kwa walafi, watatumaliza kama tusipo wamisri
   
 13. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pia tukumbuke stimulus package ilikuwa imebuniwa na wamarekani kwa ajili ya kusaidia viwanda vyao wakati wa mdororo wa uchumi, na imewasaidia sana. hapa Tz hizo ambazo hazikuibiwa zilisaidia nini kwenye viwanda? Tokea mwanzo ni wizi mtupu uliokuwa umepangwa, kwa kudesa stratage za wazungu!!
   
 14. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Gamba linginekubwa ni usanii ambao mukama na nape wanaelekea kuanza kuendeleza!!!!! Shame upon you!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. U

  Uswe JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CCM ni Jinamizi, tuiogope kama ukoma
   
Loading...