Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

waelimishe hao wao wanafikri wakili kazi yake ni kutetea tu, hawajui kama yeye ni ofisa wa mahakama kusaidia kuilekeza mahakama katika kufikia uamuzi wa haki.
 
Ndio unafiki wenyewe huo kwani unatakaje, hukujua kwamba Marando ana uchu mkubwa sana wa pesa. hapo yeye atakuja na kauli mbiu yake oooh mimi ni mwanasheria, ooooh mimi namtete amanji ili nijue siri za mafisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi.
unajua kazi za mwanasheria? Marando sio askofu, au shehe useme anakula sadaka yako, jifunze kuelewa kazi ya mtu.
 
Wandugu napenda kueleweshwa Mh. Mabere Marando ni mtu aliye mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi na mafisadi akiwa na joho la CDM. Lakini wakati huo huo anakuwa wakili wa Manji (mtuhumiwa wa ufisadi) ili kupinga kumuhusisha yeye Manji na ufisadi. Je hapa hamna conflict of interests? au sio unafiki kabisa?

Mkuu hapa kuna conflict of interest. Kumtetea fisadi papa kama mbunge wa chama ambacho kinalenga kuutokomeza ufisadi. Marando alitakiwa aache ku-practice law wakati akiwa MP hadi hapo atakapotoka bungeni. Hio ndio inaleta pia conflict of interest kwa wale MP wafanyabiashara wakubwa. Ni aibu hata Chadema hawajaliona hili wala kusema chochote. Otherwise basi CDM/Marando are just a bunch of hypocrites...unless they fix this mess:coffee:
 
Ndugu hiii ni ndio Tz na wanasiasa wake,kumbuka mabele marando ni mwanasheria so yupo pale kikazi kwani asipo fanya hivyo familia yake yaweza kufanjaaaaaa
nadhani tumwache afanye kazi aliyosomea tusimwingilie

msemakweli hapendwiiii daimaaaaaa:popcorn:
Ubunge ni kazi. Alitakiwa aache uwakili hadi akiacha ubunge sababu kuna conflict of interest. Kesho na keshokutwa akiwa ni wakili wa Caspian Construction Company tutasemaje?:coffee:
 
Hapa kuna kila baya juu ya huyu Advocate Marandu, Huwezi kudai unapiga ufisadi vita wakati unalipwa kuwatetea hao hao mafisadi. Hapa ndio muhindi anapotuelewa na kutudharau sana waswahi kwa sababu ya huu ushenzi wa wakina Marandu. Kwa hiyo madhari hii ndio sura halisi ya marandu ni kuamua moja ama afukuzwe ama kujiuzulu mara moja kwenye kamati ya utekelezaji ya Chadema ili kukinusura chama hiki kuonekana hakina lolote jipya ni mafisadi wengine, ama ajitoke katika kesi zote za kuwatetea mafisadi, na kama ana hamu sana ya kesi hizo basi akae kwenye ule upande wa wanaopinga ufisadi ambao ndio watetezi wa taifa letu. Katika kesi hii mengi hajitetei yeye kama Abrahim Reginald Mengi, anatuwakilisha watanzania wote tunaonyanyaswa na hawa mafisadi na kujua kabisa kwamba ni mafisadi lakin hatuna 'balls' za kufanya hivyo. Hivi ni mengi ndio aneyekosa shule kwa sababu ha hizi mbwa, ama ni yeye anayekosa umeme kwa hivi sasa na kukosa hata shilingi ya kuweka mlo mmoja mezani, hata wauza ice cream wameshindwa kufanya kazi hakuna kinachoendelea umaskin ndio hauleweki sisi tunathubutu hata kujadili ni kwa namna gani maradu anachekesha.
 
Hii ni sawa na kuwatuhumu wanasheria wote kwa professional yao kuwa ni majambazi, wezi, magaidi, wabakaji, mafisadi, wahujumu uchumi, wauaji! Jamani hebu tuwe objective, kazi ya lawyer-kutoa msaada wa kisheria (someone whose job is to give advice to people about the law and speak for them in court) na sio kutoa hukumu, mtuhumiwa yoyote ana haki ya kikatiba ya kupata msaada wa kisheria.

Marando anachokifanya ni ku practice professional yake ya uana sheria na hiyo hamfanyi yeye kuwa fisadi sympathizer, sheria ya nchi inamruhusu manji kupata ushauri wa kisheria hivyo sio tatizo la marando ni tatizo la profession yake, ukisema mwanasheria kama marando kumtetea fisadi papa mtuhumiwa na yeye ni fisadi, ni sawa na kusema wanasheria wote either ni murders, robbers, terrorist, wabakaji, etc kutokana na kutimiza wajibu wa professional yao, huu ni ukomo wa kufikili kwa binadamu alie hai na aliekwenda shule, politically it may sound good sound bite but kwa uhalisia wa mambo ni sign of insanity to suggest that wanachofanya wanasheria ni haramu.
 
Mkuu hapa kuna conflict of interest. Kumtetea fisadi papa kama mbunge wa chama ambacho kinalenga kuutokomeza ufisadi. Marando alitakiwa aache ku-practice law wakati akiwa MP hadi hapo atakapotoka bungeni. Hio ndio inaleta pia conflict of interest kwa wale MP wafanyabiashara wakubwa. Ni aibu hata Chadema hawajaliona hili wala kusema chochote. Otherwise basi CDM/Marando are just a bunch of hypocrites...unless they fix this mess:coffee:
Duh ! Kweli wewe VUVUZELA !
Ubunge ni kazi. Alitakiwa aache uwakili hadi akiacha ubunge sababu kuna conflict of interest. Kesho na keshokutwa akiwa ni wakili wa Caspian Construction Company tutasemaje?:coffee:
VUVUZELA tena, jamani JF tumeingiliwa ! Kwanza hivi Marando ni Mbunge kutoka chama gani na amewezaje kuwa Mbunge bila kuchaguliwa au ni Mbunge wa viti maalum ? Pili je,kuna watu wana hati miliki ya kula hela za Manji, mfadhili mkuu na mwenyekiti wa wadhamini wa klabu ya Yanga ?
 
Wandugu napenda kueleweshwa Mh. Mabere Marando ni mtu aliye mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi na mafisadi akiwa na joho la CDM. Lakini wakati huo huo anakuwa wakili wa Manji (mtuhumiwa wa ufisadi) ili kupinga kumuhusisha yeye Manji na ufisadi. Je hapa hamna conflict of interests? au sio unafiki kabisa?

ukiwa mbumbumbu wa sheria usianzishe thread inayohusu mambo ya sheria
 
Niko ughaibuni na sina uhakika kama ni MP wa kuteuliwa ama w kuchaguliwa. Either way, it really doesn't matter. Hapa kuna conflict of interest, na Chadema wanatakiwa wa-solve hii issue otherwise itakuwa ni kansa kwenye chama chao. Alitakiwa achukue sabbatical leave kwenye hiyo legal firm yake kama balozi wetu mama Maajaar alivyofanya..
Otherwise ataendelea kujikuta akishughulikia ama akihusishwa na kesi ambazo zitaleta conflict of interest. Imagine leo hii Vithlan, Rostam ama Karamagi kampuni zao ama wao wenyewe wawakilishwe na Marando as an attoney na wakati huo huo ati yeye ni MP? Haliniingii akilini. Unless Chadema waseme vita dhidi ya ufisadi vimeisha na wamebwaga manyanga:coffee:
 
Hii haina tofauti na ile ya mch. Mtikila aliyekuwa anamsema RA hadharani kwa ufisadi kisha anakwenda kumpiga mzinga wa mil 3! Hivi pesa yenyewe karudisha?
 
Me ndo maana naamini ukimuondoa baba wa taifa na sokoine,nazan sijaona mwanasiasa mwingine mwenye dhamila ya dhati kutuhudumia wananchi..
Me sina chama ila chadema naipenda sera zake,ila hili la marando kumtetea manji napingana nalo maana hata rostam is innocent till proven guilty kwenye shutuma zake za ufisani, kwa mnao mtetea marando unasemaje ukisikia anamtete rostam ktk kesi zake maana ajawa provem guilty?

Jmm tuache ushabiki wa kijinga ukweli usemwe tu kua huyu mzee morally anafanya kosa,ingawa professionally hana kosa lolote.

Nyerere alisema kiongozi wetu akisema anachukia rushwa tusiishie kusikia tu hayo maneno inabidi tukimuangalia tuone kweli anachukia rushwa,sasa we marando akisema anachukia ufisadi na akawa anamtetea manji unaweza kusema kweli anachukia ufisadi?? Siasa za TZ hopeless kbs
 
Kitu kimoja mnakimiss out, Mrando ni professional na hawa maprofesheno wana kitu kinaitwa "ethics" sasa sijui kwa wanaojua sheria wanaweza kutueleza ikiwa mteja wako amekuja na akaomba umtete kuna "ethics" zozote zinakuzuia kama huyo mtu ana shutuma za kifisadi. Je daktari atamwacha fisadi afe asimuhudumie? "ethics" zinamruhusu?
 
Nakubaliana na wewe ila kuna suala moja hapa,daktari si mwanasiasa,marando ni mwanasiasa tena anayepiga ufisadi sasa akianza kutetea watu wenye tuhuma za ufisadi unaeleweka kwel?tuache ushabiki jmn na tuseme ukweli,yan ina maana hta rostam akija kwake kutaka amtetee kwenye kesi kma ya dowans angeenda maana ethics zinaruhusu?
 
Marando ni wakili.
Nini kazi ya wakili?
Wakili kazi yake ni kuhakikisha kuwa mteja wake anatendewa haki mahakamani (sio tu kumtetea).
Kama Mteja wa wakili amefanya kosa na ana hatia basi apewe adhabu kulingana na kosa alilofanya na adhabu iliyowekwa kwa mujibu wa sheria, asionewe.
Marando anaposimamia Manji ali ahukumiwe(kama ana hatia) kwa mujibu wa sheria bila kuonewa, kwa upande wangu mimi sioni kosa lake.
 
kwani mengi sio fisadi??mengi ana personal vendetta na wafanyabiashara wenzake lakini na yeye ni fisadi tu...after all a person is innocent until proven guilty,.that is a general rule,..exception ni RA
Nimeipenda hiyo yenye RED , nadhan tuipiganie iingizwe kwenye katiba mpya, ili RA akose pa kuchezea watu akili kutumia makaratasi.
 
Mkuu,

Hapa kuna shida kubwa, kama mimi sipendi ushoga siwezi kuwa wakili wa kutetea mtu anamshitake mwenzake kwa kumwita shoga! Hata kama ni kazi yangu kutetea watu watendewe haki, nikifanya hivyo nitakuwa napingana na dhamira yangu ya kupinga ushoga na wala sitaweza kumtetea ipasavyo kwa sababu nafsi yangu inataka nimzomee huyo shoga ili aache ushoga sasa nitawezaje kumtetea asizomewe??

Marando anatuzuga huyu wala siyo jemedari wa kupinga ufisadi. Mbona sijawahi kumsikia Lisu akiwa wakili wa hao mafisadi?
 
mkuu...nimekutumia e-mail
 
Back
Top Bottom