Recent content by Ilu

  1. Ilu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soft copy novena ya Bikira Maria mfungua mafundo

    Asantee sana imekuwa msaada leo.
  2. Ilu

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

    Poleee sana. Kila siku asbh kabla hujafungua kinywa pata maji ya moto ya karafuu. Na jioni pia kabla hujalala. Karafuu isage weka kijiko kimoja kwenye kikombe chako. Fanya huo uwe utaratibu wako Kila siku.
  3. Ilu

    JamiiForums Tanzania Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    You said it all.
  4. Ilu

    JamiiForums Tanzania Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    It is a Blessing
  5. Ilu

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Aendelee na form one kisha atafanya mtihani wa STD VII 2023. Hata waliofutiwa mtuhani mwaka jana walifanyiwa hivyo.
  6. Ilu

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
  7. Ilu

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    Umeme upi? Huu huu Kipara anatupa kwa mgao?
  8. Ilu

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nimepata 30gb
  9. Ilu

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi mwezi huu nilipata 30gb kw 25 ilikuwa tarehe 1 Oct. Ngoja nione kama 1 Nov watanipa tena 30gb.
  10. Ilu

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Gabriel's Inferno and Gabriel's Rapture
  11. Ilu

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Zaidi ya kawaida
  12. Ilu

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Kwa wapenzi wa love story hii movie ni nzuri sana. Gbriel's Inferno zipo part 3 na Gabriel's Rapture zipo 3 pia.
  13. Ilu

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungia Mchongo pesa na Chota mihela

    Yaaani nilikuwa nashangaa kinachoendelea redioni. Serikqli imefanya vema. Watu walikuwa wanaliwa sana.
  14. Ilu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Hatarii
Back
Top Bottom