Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

  • Fedha yako inapungua kutokananna makato ya kila mwezi.
  • Kuna makato pindi unatoa hiyo fedha yako.
  • Thamani ya shilingi huwa inapungua ukilinganisha na dola | US $
Hivyo ni salama na ni faida zaidi kutumia hiyo account maalum ya USD kuhifadhi fedha yako.
Mwl kwanini FNB na sio banc abc kwa account ya usd?
 
FNB - deposit utafanya hata kwa njia ya simu kwenye account yako ya TZS, then utatumia APP kuhamisha fedha toka TZS account na kwenda ile account yako ya USD | Hivyo haikuhitaji kufika benki kwa ajiri ya deposit. | Nina account kwao.

BANCABC - deposit ya USD lazima uendele dirishani benki kufanya deposit | Ninayo USD account na nilisitisha matumizi baada ya huo ugumu wa kufanya deposit.(Sijui kwa sasa kama walisha boresha, wengine watatupa uzoefu wao) | Pia sijui kama USD account yao ina makato au haina, sababu sikutumia kabisa.
 
FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
Ahsante. Nimeona tayari
Code:
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/exim-bank-completes-acquisition-of-fnb-tanzania-3883616
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
FNB ilinunuliwa na Exim Bank haipo tena Tanzania.
Hawa Exim bank nina card yao ya prepaid, ukishadeposit huchukua muda kureflect kwenye bank account

Nilishawahi kufuatilia mwezi mzima pesa haikuwa inaonekana kwenye account.
 
- Ndio Wazo zuri.

- Ila isiwe in terms of physical items, ili kuepuka risk zinzoweza kujitokeza.

- Bali iwe in terms of USD

- Kivipi in terms of usd?? Fanya hivi.
1. Fungua account maalum ya USD,
- Account hii ya USD ina sifa hizi a] Haina makato kwa muda wote utakao hifadhi fedha yako kwa USD, b] Iwapo umeweka US $100 kama mfano, ikifika wakati wa kutoa utatoa hiyo hiyo $100 bila makato. kwa exchange rate ya wakati huo.

2. Chukulia lengo ni kununua BATI, basi fahamu bati zitaghalimu TZS ngapi, Then tafuta hicho kiasi husika cha kununulia bati, then nenda kahifadhi kwenye account yako ya USD, Weka Tick kwenye BATi kwamba tayari umefanya manunuzi ya Bati.

3. Endelea hivyo hivyo kwa kila unachotaka kununua, hadi unakamilisha ujenzi wako.

Faida ya kutumia benki account. Ni hii
  • Hakuna kuhofia kuibiwa bati zako au
  • Hakuna kuhofia kuharika au kuharibiwa kwa items kama Gypsum nk
Haijarishi utachukuamuda gani kufikia lengo, ila hakika fedha yako/material zako za ujenzi, itakuwa salama.

Je ni benki ipi yenye USD account na haina makato yeyote unapoweka na unapotoa fedha yako. Nenda FNB Bank, na gungua USD account aitakayouwezesha ku_save fedha yako tu. Na utatoa mara moja kwa mkupuo. Fanya utafiti zipo benki zingine zitakuwa na account kama hii niliyotolea mfano.

Kila lakheri
Nondo muhim.maan kwnwy ujenz kama kiwanja kipo ukiwa na hata mil 5.boma linainuka.unapumua tena ukiweka hela bat mbao ufund.grill mbao blandering pumbing electriacal plasta body skimming
 
Fanya mchanganuo wa msingi wa nyumba yako kwanza, ukiijuwa gharama ya msingi tafuta hiyohela ya kuujenga msingi weka huwo msingi mimina floor yote, kunyanyua boma fanya vile vile. Hela usiwekeze kwa mtu fungua akaunti ya ujenzi wekeza huko.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
- Ndio Wazo zuri.

- Ila isiwe in terms of physical items, ili kuepuka risk zinzoweza kujitokeza.

- Bali iwe in terms of USD

- Kivipi in terms of usd?? Fanya hivi.
1. Fungua account maalum ya USD,
- Account hii ya USD ina sifa hizi a] Haina makato kwa muda wote utakao hifadhi fedha yako kwa USD, b] Iwapo umeweka US $100 kama mfano, ikifika wakati wa kutoa utatoa hiyo hiyo $100 bila makato. kwa exchange rate ya wakati huo.

2. Chukulia lengo ni kununua BATI, basi fahamu bati zitaghalimu TZS ngapi, Then tafuta hicho kiasi husika cha kununulia bati, then nenda kahifadhi kwenye account yako ya USD, Weka Tick kwenye BATi kwamba tayari umefanya manunuzi ya Bati.

3. Endelea hivyo hivyo kwa kila unachotaka kununua, hadi unakamilisha ujenzi wako.

Faida ya kutumia benki account. Ni hii
  • Hakuna kuhofia kuibiwa bati zako au
  • Hakuna kuhofia kuharika au kuharibiwa kwa items kama Gypsum nk
Haijarishi utachukuamuda gani kufikia lengo, ila hakika fedha yako/material zako za ujenzi, itakuwa salama.

Je ni benki ipi yenye USD account na haina makato yeyote unapoweka na unapotoa fedha yako. Nenda FNB Bank, na gungua USD account aitakayouwezesha ku_save fedha yako tu. Na utatoa mara moja kwa mkupuo. Fanya utafiti zipo benki zingine zitakuwa na account kama hii niliyotolea mfano.

Kila lakheri
Well
 
Hii benki kijijini kwangu hakuna

Umeelekeza kwa ufasaha sana na mtu mwenye kiu ya kumiliki nyumba, hakika amepata Mwanga.
 
Back
Top Bottom