Mjomba tafuta pesa,,heshima ya kwanza dunia hii kwa sasa ni kuwa na pesa nyingi sio kuoa au kuolewa,,jaribu tu uoe hapo halafu ukawa huna pesa dharau utayopata itakuumiza utaona mara mia ya hii unayopata sasa hivi,,,na ile kuwa na pesa tu kuna wanawake watakuja wengi mpaka utawakataa