Yote hayo unayafaham bado upo kimya tu, lengo lako kuwa kimya ni nini, huoni au hujui kunyamazia jambo ni kulifanya kuwa halali au kuifanya mizizi izidi kujikita au kwenda chini zaidi?
Na unaamini hadi kuandika hayo yote hujafukua makaburi kama ulivyodai?
Kwamba unavizidi vikao vyote vya simba...
Nina uhakika hata jalada lake hawajaliandika kosa lake ni nini?
Hii ndo Tanzania kujengea wanachi wake hofu serikali inaweza sana!
Mwenye ajira anamuonea wivu asiye na ajira hadi anaamua kumkata 😁
Home bana mambo hayakuwa mazuri kabisa ko sikufukuzwa wala kuandaliwa cho chote zaidi ya kujiongoza mwenyewe nikaondoka home.
Ila leo hii alhamdulilah mambo yako sawa.
Bora nimuandae kuliko nimtimue.
Ila kitu sitaki ni akae bila kufanya kazi na kaanza kunielewa kwa kujitunzia akiba ila kingine...
Kwa maoni yako huyo Wasira ana ushahidi wa hayo anayoyasema?
Au mnataka kulifanya jeshi la polisi lionekane halijui wajibu wake?
Mimi siamini kama kuna vijana wanachukuliwa tu bila malipo kisa wakaandamane mkoa mwingine
Hiyo kazi ya kuchukua vijana kwingine ni ya ccm tu kwa vyama vingine ni...
Duh 🙄 hii mechi sijawahi isahau kama kuna dhambi ilitendwa na Yanga ni hii siku umri umeenda ila haifutiki akilini mwangu!
Siku ambayo mama yenu ilibaki hivi akutane na talaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.