Nimesoma comments zote, mjadala umeenda vizuri.
Mtu ameweza kupewa majina ya ajabu ajabu basi sio bure, kuna kitu kinamhusu hakipo sawa.
Tutamkosoa kulingana na mwenendo wake. Mtu gani anashindwa kulinda heshima ya Jumba Kuu kupitia mdomo wake mwenyewe eti tumnyamazie.
Sote hatupendi iwe...
Nashukuru sana kwa michango yenu wapendwa.
Nionavyo mimi suala hili ni matokeo ya kutofanya usafi ipasavyo.
Yaani mwenzangu anaoga asubuhi baada ya kuamka. Anafanya kazi zote hadi jioni. Kumkumbusha kuoga kabla ya kulala ndio inakuwa shida. Hukataa kwa madai ameoga asubuhi.
Sababu kubwa ni...
Habaririni wapendwa
Mwenzenu sina amani kwa kiasi fulani. Naishi na mwenzangu somehow mchafu. Harufu harufu mimi sipendi toka huko chini inayoambatana na kikwapa cha huko huko.
Nimefanya jitihada sana kumshauri afanye usafi, aoge angalau mara mbili daily lakini wapi!!!
Kuna wakati anajua...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kwanza fahamu kuwa neno Kisutu yaweza kuwa ni eneo au mtaa au mahali ilipojengwa mahakama.
Pili elewa kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi ni level ya mahakama katika mfumo au muundo wa mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo huanza na mabaraza ya...
Tatizo wa Tanzania hamtaki kusaidia. Mngejibu faida na hasara za kujenga au kununua gari.
Haya majibu ya kupangia maisha watu ni umaskini wenu tu.
Mmezoea hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.