Recent content by ikuo

  1. ikuo

    Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

    Wengi tunashabikia pasipo kujua history ya mataifa hayo mawili yaani Russia and Ukraine wengi tupo kiushabiki tu.
  2. ikuo

    Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

    Wivu tu unawasumbua yanga. Mnaanza mapema hivi kulalamika.
  3. ikuo

    Covid 19 imemrudisha sana nyuma Rais wetu Magufuli kwa aliyoyatarajia kuifanyia Tanzania

    Watakuja wengine bora zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ikuo

    Msishangae wapinzani kutangazwa kushinda baadhi ya maeneo pamoja na kugomea uchaguzi

    Haisaidii kitu hapo, hauwezi kufanya kila kitu mwenyewe hata akiweka wapinzaji, hapo mboga ilisha zidi chumvi imwagwe tu.
  5. ikuo

    Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    TODAYS, Aliongea Kama kada wa chama tu amri inatakiwa kwa Tume ya Uchaguzi
  6. ikuo

    Serikali ipige marufuku mabango makubwa kutukuza wanaotusaidia

    Kama unataka mke lazima ukubali mashariti ya mahari.
  7. ikuo

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Na Mandela la kwenda mang'onyi
  8. ikuo

    Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

    Chunguza vizuri Mzee mama mkwe ni bosheni tu pengine mpango wa kando huo we hujui tu.
  9. ikuo

    Watanzania tusivyopenda vya nyumbani kama tumelogwa vile...

    tatizo mifumo ya mihimili yetu ilisha vurugwa na chama tawala.
  10. ikuo

    Watanzania tusivyopenda vya nyumbani kama tumelogwa vile...

    Vya ndani tunavipenda sana tatizo pengine mtazamo wako, Pia propaganda za ccm zimechangia kuvuruga umoja wa nchi tuliokuwa nao miaka ya nyuma.
  11. ikuo

    Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Chimbuko la dini zetu ni sehemu moja Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ikuo

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Hii tabia ya wivu mpaka kwenye maendeleo ya mikoa ni ushamba wa kizamani. Kwani unaishi mkoa gani hasa mpaka ukasema hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ikuo

    Hivi ni madhara gani yanaweza kutokea endapo nyota ya angani ikaanguka!!

    Nadhani nyota haziwezi kuanguka bali ni kuigonga.
Back
Top Bottom