Recent content by IKEMEFUNA

  1. I

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    Ka-nchi kama mkoa!!! Kelele nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
  2. I

    Hivi Madini yalitoka wapi?

    Mkuu umeona eeehheee??! Kuna kajamaa katumbafu kamefikia hitimisho kuwa kana mashaka na uwepo wa MUNGU! Sasa kama siyo kutafuta balaa ni kitu gani hiki? Huu uzi umekaa Ki-shetani shetani vile!! Ngoja mimi nihame nisijeambukizwa mafua ya shetani bure!!!
  3. I

    Kwa Wajasiriamali wa Kilimo cha Mazao ya Chakula/wafanya biasahara wa nafaka za chakula

    Nchi letu limejaliwa kuwa na ardhi yenye rutuba na mito mingi isiyokauka lakini kwa bahati mbaya pia tukajaliwa kuwa na viongozi legelege chini ya uongozi wa CCM. Kama serekali ingekuwa na akili nzuri ingewezesha wakulima wengi ambao wako karibu na vyanzo vya maji wakalima kilimo cha...
  4. I

    kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    Kwani Mkuu hatuwezi tukakiongeza hicho kiasi angalau ikawa 100,000/= kwa hiyo miezi 9 ambayo itatoa kama 90m kwa hao watu 100. Hapo ndo tutaweza kuwa na biashara ya kueleweka. Ingawa hata NICOL nao walikuja hivi hivi wakakusanya hela yetu mpaka leo tumebaki tunashangaa shangaa tu hatujui tuende...
  5. I

    Ridhiwani kaenda Ukerewe?

    JF ni kiboko!! Haki ya nani namwona Rejao pale pembeni, Ritz, Masopyakindi na huyu aliyepanua mdomo hapa pembeni simkumbuki!! Hallow Mkuu utanivunja mbavuuuuuuuuuuuuuu!!!
  6. I

    Mahodi ng'wenumu!!

    Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! Wakuu Kisukuma kinaruhusiwa humu ndani? IKEMEFUNA IN DA HOUSE!!!
Back
Top Bottom