Hivi Madini yalitoka wapi?

ulishawai kujiuliza wewe ulitoka wp? Kama ni mkristo soma bible soma wakati Mungu anaanza kuumba dunia yani uisome mwanzo yote utajua madini yametoka wapi,
 
Nickia harufu ya shetani ime tanda leo humu ndani!

mimi pia nais ibilisi amewaingia watu umu,ngoja nikemee tosabiso abangise pepe naliko naipele botema nangae sherii nono,pepo toka,mungu ndioaliyeumba vitu vyote,ata ukisoma ufunuo,mji wa mbingun umezungukwa kwa almas,na umejengwa kwa dhahabu ivo mambo za wanasayansi wakat mwingine si zakuamininafaa uchanganye akili zako kufikiri
 
Hahahaaaaaa!
Bwana we ulivyokemea! Pepo lazima atoke. But science ina base sana kwenye facts wala sio imani. Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu aliumba hayo madini? Katika mji wa mbiguni (kama upo, maana haujathibitishwa kisayansi), hayo madini (kama yapo) is the result of nuclear reactions of atoms. Prove kwamba Mungu aliyaumba, maana unaposema umejengwa na umezungukwa na madini, hii inamaana kuwa madini tayari yapo. Eleza source ya hayo madini. Mungu awe pamoja nawe Mtumishi wa Bwana.
 
Madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na Geological history. Hakuna cha Mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au mkaa bali ni formation yake ni tofauti. Fikiria kama mchele na mpunga. Dhahabu ni rahisi kupatikana kwa sababu gold element sio reactive kama metali nyingi.

Hizi elements zinatokana wapi? Nuclear fusion. Historia ya ulimwengu ilianza kama hydrogen. Hydrogen ina fuse kutengeneza helium. Hivo hivo helium ina-fuse kutengeneza elements higher in the periodic table. Nyota ikifa, huwa inalipuka na kurusha elements na baadhi ya hizo elements zina-angukia kwenye new stars kutokana na gravity.

Hii nimerahisisha ila ni somo refu ambalo linataka had degree. Kama unahitaji somo zaidi nishtue!

umemjibu vyema kisayansi ila hata kiuumbaji Mungu alihusika.

kuhusu geological forces unless ni chemist ndipo utaelewa nuclear fussion and fission ama physicist. kuna nyingine ni MO's metabolism tu zinaleta haya madini kaa vile copper etc.
 
Ooh! I know what is going on. Kwa hiyo endelea kumwaga mechanism za kisayansi tu kwa faida yangu na ya wengine ambao wanashauku ya kufahamu mambo hayo. Kweli i'm very interested with the chemistry or the physics of these "madini". Thanks. Ila wengine hiyo sayansi wanaita mapepo na u-freemason wanakemea kwelikweli mpaka pepo awatoke wanasayansi.
 
madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na geological history. hakuna cha mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au mkaa bali ni formation yake ni tofauti. Fikiria kama mchele na mpunga. Dhahabu ni rahisi kupatikana kwa sababu gold element sio reactive kama metali nyingi.

Hizi elements zinatokana wapi? Nuclear fusion. Historia ya ulimwengu ilianza kama hydrogen. Hydrogen ina fuse kutengeneza helium. Hivo hivo helium ina-fuse kutengeneza elements higher in the periodic table. Nyota ikifa, huwa inalipuka na kurusha elements na baadhi ya hizo elements zina-angukia kwenye new stars kutokana na gravity.

Hii nimerahisisha ila ni somo refu ambalo linataka had degree. Kama unahitaji somo zaidi nishtue!

yaonyesha ni jinsi gani ulivyo mbali na neno la mungu;kwani mungu alishindwa kuyaweka haya madini somali,kenya,sudan, na hata nchi nyingine lakini kwa nini tanzania tu.wanyama nao tanzania tu,huu ni upendeleo wa mungu tosha.ndugu yangu hata kama science haitambui mungu si kiivyo mungu ni mungu wa vyote.

Nchi na vyote viijazavyo dunia ni mali ya bwana
 
Madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na Geological history. Hakuna cha Mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au mkaa bali ni formation yake ni tofauti. Fikiria kama mchele na mpunga. Dhahabu ni rahisi kupatikana kwa sababu gold element sio reactive kama metali nyingi.

Hizi elements zinatokana wapi? Nuclear fusion. Historia ya ulimwengu ilianza kama hydrogen. Hydrogen ina fuse kutengeneza helium. Hivo hivo helium ina-fuse kutengeneza elements higher in the periodic table. Nyota ikifa, huwa inalipuka na kurusha elements na baadhi ya hizo elements zina-angukia kwenye new stars kutokana na gravity.

Hii nimerahisisha ila ni somo refu ambalo linataka had degree. Kama unahitaji somo zaidi nishtue!

Mwisho mtasema kuna Natural Force ndio ilifanya hiyo Hydrogen. Hivi hamuoni maajabu binadamu kuzaliwa. Mungu Yupo aisee.
 
Hivi jamani madini kama dhahabu, almasi, shaba, chuma n.k. yalipatikanaje hapa duniani?(i.e. How were/are they formed?). Maana Nchi kama Tanzania ina dhahabu, almasi, uranium na madini mengine mengi tu, ndio tuseme Mungu ametupendelea au kuna namna fulani ambayo haya madini yanapatikana.

Guys,
The planet earth was formed around 4.54 billion years ago by accretion from the solar nebula (geologicallly).

So why comes we see uneven distribution of elements on the earth?

To understand this, first you must know the physical composition and chemical properties of our planet earth. It is made of three major layers: The core- the most inner part (predominantly composed of Ni-Fe-Cr), the crust- the outer layer (dominated by Si-Al-+ other major elements) and the layer which is placed between the core and crust- termed the mantle(has variable composition).

Kuna kitu kinachoitwa ''geological defromation''. Yaani dunia kupasuka kutokana na nyufa (faulting and shear zones) na migongano ya techtonic plates (continental collisions and subduction zones) kwa vipindi virefu tofauti tofauti. Sehemu za dunia ambazo ziko deformed zaidi ndizo zina uwezekanao wa kuwa na madini mengi zaidi.

So the interaction (by upward and downward movement) ya madini yaliyoko kwenye core, mantle na crust, with changes in temperature and pressure, ndiyo factor muhimu sana kuliko zote zinazo-play part. Kumbukeni the Core is both solid and liquid. The mantle is in molten form ()uji uji mzito, mostly. The crust is entirely solid.
 
Madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na Geological history. Hakuna cha Mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au mkaa bali ni formation yake ni tofauti. Fikiria kama mchele na mpunga. Dhahabu ni rahisi kupatikana kwa sababu gold element sio reactive kama metali nyingi.

Hizi elements zinatokana wapi? Nuclear fusion. Historia ya ulimwengu ilianza kama hydrogen. Hydrogen ina fuse kutengeneza helium. Hivo hivo helium ina-fuse kutengeneza elements higher in the periodic table. Nyota ikifa, huwa inalipuka na kurusha elements na baadhi ya hizo elements zina-angukia kwenye new stars kutokana na gravity.

Hii nimerahisisha ila ni somo refu ambalo linataka had degree. Kama unahitaji somo zaidi nishtue!

Na hydrogen ilitoka wapi?

Sent from my iPhone
 
Guys,
The planet earth was formed around 4.54 billion years ago by accretion from the solar nebula (geologicallly).

So why comes we see uneven distribution of elements on the earth?

To understand this, first you must know the physical composition and chemical properties of our planet earth. It is made of three major layers: The core- the most inner part (predominantly composed of Ni-Fe-Cr), the crust- the outer layer (dominated by Si-Al-+ other major elements) and the layer which is placed between the core and crust- termed the mantle(has variable composition).

Kuna kitu kinachoitwa ''geological defromation''. Yaani dunia kupasuka kutokana na nyufa (faulting and shear zones) na migongano ya techtonic plates (continental collisions and subduction zones) kwa vipindi virefu tofauti tofauti. Sehemu za dunia ambazo ziko deformed zaidi ndizo zina uwezekanao wa kuwa na madini mengi zaidi.

So the interaction (by upward and downward movement) ya madini yaliyoko kwenye core, mantle na crust, with changes in temperature and pressure, ndiyo factor muhimu sana kuliko zote zinazo-play part. Kumbukeni the Core is both solid and liquid. The mantle is in molten form ()uji uji mzito, mostly. The crust is entirely solid.

Mkuu, thank you so much kwa kutuongezea maarifa katika jambo hili.
 
Mwisho mtasema kuna Natural Force ndio ilifanya hiyo Hydrogen. Hivi hamuoni maajabu binadamu kuzaliwa. Mungu Yupo aisee.

Hoja nyepesi hizi hazina mshiko kwenye ulimwengu wa sassa.
 
heri aaminie uwepo wa Mungu kwani akifa hata kama hakuna Mungu hatapata madhara na ole wake asiye amini uwepo wa Mungu siku ya kufa akutane naye. tafakari na chukua hatua leo
 
Nickia harufu ya shetani ime tanda leo humu ndani!

Mkuu umeona eeehheee??!

Kuna kajamaa katumbafu kamefikia hitimisho kuwa kana mashaka na uwepo wa MUNGU! Sasa kama siyo kutafuta balaa ni kitu gani hiki? Huu uzi umekaa Ki-shetani shetani vile!!

Ngoja mimi nihame nisijeambukizwa mafua ya shetani bure!!!
 
Balaa gani? Hiyo balaa itakupata wewe kwa kuwa unaamini hiyo balaa. Wale ambao hatuamini katika hiyo balaa haitatupata kamwe. Heri yake anayeuliza hizo proton na neutron zimetoka wapi kuliko mtu anayetukana pumbafu huku akidhani anamwakishirisha Mungu kumbe ni shetani. Maana matusi si ya Mungu anayejifanya kumtetea kwa mjibu wa Biblia. Anayefuatilia source ya kitu, yeye anafuatilia kupata hitimisho la hili jambo logically sio kwa matusi.
 
From the Big bang.

Really? There can only be a big bang if there is matter (or energy?).
Question: Where did the first matter and/or energy come from? Or rather how did the first matter and/or energy start?

Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom