Recent content by ikedubaku

  1. ikedubaku

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hello Dawasa Naripot uvujaji wa maji barabarani. Eneo : Sinza D Mtaa wa Kitumbi karibu na uwanja wa magoli matatu. Naomba ishughulikiwe ksb ni tatizo endelevu Asante.
  2. ikedubaku

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Habari ya kazi Dawasa. Sinaza D Magoli matatu hatuna maji
  3. ikedubaku

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Maji hayajatoka wiki nzima sasa maeneo ya Sinza D au mpaka tumwandikie Waziri Awesso?
  4. ikedubaku

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Habari dawasa Kuna bomba limepasuka eneo la Sinza D MAGOLI MATATU (Uwanja wa mpira) naona tatizo hili limekuwa sugu kiasi kupelekea kupotea kwa maji mengi ambao yanaingizia hasara mamlaka ushauri : bomba linakatiza barabara kwahiyo joint zihamishwe kwa maana ya kwamba ipelekwe kwenye position...
  5. ikedubaku

    D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

    Investigators say evidence proves DB Cooper's identity | Daily Mail Online
  6. ikedubaku

    IGP Sirro, mabadiliko ya matumizi ya Barabara katikati ya Jiji la Dar ni kero kubwa!!

    trafiki wanaonekana kuwavizia wanaokosea hasa eneo ambalo alama inaonekana kwa utata kwa mfano mtaa wa jamhuri na mkwepu alama iliyopo inakanganya.
  7. ikedubaku

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    fungua jw.org/sw alafu bonyeza machapisho utayapata yote hapo
  8. ikedubaku

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Onyo na hatua kali za kinidhamu na za kisheria zichukuliwe dhidi ya askari aliyemtishia Nape kwa bastola.
  9. ikedubaku

    Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

    Karudi kama "Bwana yule" wa Kaf
  10. ikedubaku

    Mufti Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid kuwa ni Jumatano ya July 06

    Mufti ameonekana Itv live akiuthibit Mwezi
Back
Top Bottom