Kilo 10 mpaka 15 kwa mwezi ni kujitafutia matatizo ndugu. Nakushauri:
Tumia zaidi matunda, mbogamboga na protein (nyama, samaki, maharage, njegere)
Kula sio lazima ule mara tatu. Fanya mifungo kama intermittent fasting yaani ukila usiku subiri masaa 16 hadi 18 ndio ule tena. Mfano ukila usiku...