Recent content by Ihanyabou

  1. Ihanyabou

    Madai ya Lema kugoma kula hayana mashiko

    Kamanda huyo! Makamanda hawafagi kizembe mm nafikiri kila MTU anauhuru wakufanya akipendacho so mwachen kwanza
  2. Ihanyabou

    Table manners

    Mmmh! Niliumbwa na mikono miwili niitumie hizo uma , visu, kijiko n.k
  3. Ihanyabou

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Duh! Inauma sana ukitafakari kwakina ujumbe huo na kinachoendelea kwasasa Afrika. Kumbe Boss MUGABE Ndomana anahasira na hawa watu weupe
  4. Ihanyabou

    Naungana na Yericko: Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Achen mbowe apige pesa kabla hamjamshutukia. Mkakati wote umetumia kiasi gani pigs hela Mbowe bado wamejifunika wakiamka unawaachia uwenyekiti
  5. Ihanyabou

    Wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu na demokrasia Tanzania wanasumbuliwa na UDINI?

    Think twice b4 hujatoa waraka. UDINI unatoka wapi tena humu ndani achen ulaza mawazo.
  6. Ihanyabou

    Watu aina ya Tundu Lissu ni Matokeo ya Huruma ya Kikwete

    Hahahahahahaaa! Ikulu sio mahali pakupigia stori. Wanataka wakasaini tena kwenye kitabu cha wageni pale ikulu. No muda wakuchekeana tena.
  7. Ihanyabou

    Video: Jinsi Kanda ya Kusini walivyoipokea UKUTA

    Jaman nilikuwa nasoma kijalada fulan vile kinaitwa OPERATION SANGARA stori zake nilizipenda lakin zivyoisha mmmmmh! Lakin wakati natafakari matunda ya hiyo operation sangara nikakuta heading inaitwa UKUTA najiuliza huu ukuta niwaina gani? Tukiwachoka hawa jamaa na vijimaneno vyao sijui...
  8. Ihanyabou

    Hukumu ya Mwangosi

    Ulitaka sura yake upeleke wapi? Hukumu ishatoka acha atumikie adhabu yake.
  9. Ihanyabou

    Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    Utajili sio hela mfukon ama bank. Angalia miladi na biashara zake hapo ndo utajua awezo wake kiuchumi kuwa ataweza kufanya hayo? Pia unaweza ukaangalia uwekezaji wake hapa nchin ukawa mdogo na huko nje ya nchi ndo kuna Mali zake mingi tu.
  10. Ihanyabou

    Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

    Kweli Lisu ni mtu mwenye uelewa na sio mnafiki kama CDM.mim nadhani aliingia Cdm kimakosa atafute mahali sahihi pakufanyia kazi coz hawa cdm hawana malengo na maendeleo ya nchi.Lisu no binge LA MTU ILA TANZANIA IMESHINDWA KUMTUMIA.
  11. Ihanyabou

    Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

    Mbowe using'ang'anie Dar! Pia kumbuka tokea enzi za mwalimu mipango na mikakati ya kuhamia Dom ilikuwepo na ilikuwa inapangwa kama mipango imekamilika mnasubili nin kuhama. Dar?
  12. Ihanyabou

    Sababu za serikali kuhamia Dodoma zabainika

    Mawazo mgando kweli. Kwani wazo lilipotolewa kulikuwa na utawala gani?
Back
Top Bottom