Wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu na demokrasia Tanzania wanasumbuliwa na UDINI?

Ebale

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
943
1,683
Wanajamvi mtakubaliana na mimi kwamba kabla ya Raisi Magufuli na awamu ya Tano kuingia madarakani, watu waliojiita wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa na fujo sana sana! Walimsumbunbua JK kwa matamko na makongamani ya kila siku!

Mtu aliyeitwa Deo Kibamba alifikia hatua ya kumshtaki Jk ICC kwa kauli yake kwa wana CCM kwamba msiwe waoga!kulikuwa na matamko na waraka wa makanisa!

Watu wa Tamwa na Tawla akina Ananilea Nkya walikuwa wakali kama pilipili!watu walijazwa chuki dhidi ya JK hadi akawa anaonekana kama ni kiumbe asiyefaa kuwepo duniani!
Hadi kwa wafanyakazi ambao alikuwa anawaongezea mishahara kila mwaka!wanahitimu walihamasishwa kuandamana pale ajira zao zilipochelewa!Lakini harakati zote hizi hatuzioni tena, Magufuli kabomolea nyumba watu bila fidia hata ya viwanja mpaka watu wamekufa kwa pressure wanaharakati wote kimya!

Fukuza fukuza za watumishi bila kusikizwa zimeendelea wanaharakati wote kimya! Raisi several times anahamasisha polisi kuua kwa risasi, but hakuna cha Kibamba wala Kijo Bi simba anayeleta fyoko! Raisi amezuia bunge live, amepiga marufuku mikutano ya kisiasa, anawa harass wapinzani akina Lissu but watetezi wa haki za binadamu ni kama vile hawayaoni!

Maisha mtaani hayashikiki but wote kimya! I am sure haya yangefanyika kipindi cha JK nchi isingetosha kwa matamko, maandamano na makongamano!nadiriki kusema walikuwa wanamsumbua JK si kwa lolote ila ni kwa DINI yake tu!

Ni unafiki wa hali ya juu. Hata issue ta katiba mpya hakuna mtu anayeiongelea tena! Kumbe hata nayo hatukuihitaji bali ilikuwa ni njia tu ya kumsumbua tu Jk! Laana hii haitawaacha! Na ukweli unadhihiri
 
Wanajamvi mtakubaliana na mimi kwamba kabla ya Raisi Magufuli na awamu ya Tano kuingia madarakani, watu waliojiita wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa na fujo sana sana! Walimsumbunbua JK kwa matamko na makongamani ya kila siku! Mtu aliyeitwa Deo Kibamba alifikia hatua ya kumshtaki Jk ICC kwa kauli yake kwa wana CCM kwamba msiwe waoga!kulikuwa na matamko na waraka wa makanisa!Watu wa Tamwa na Tawla akina Ananilea Nkya walikuwa wakali kama pilipili!watu walijazwa chuki dhidi ya JK hadi akawa anaonekana kama ni kiumbe asiyefaa kuwepo duniani! Hadi kwa wafanyakazi ambao alikuwa anawaongezea mishahara kila mwaka!wanahitimu walihamasishwa kuandamans pale sjira zao zilipochelewa!Lakini harakati zote hizi hatuzioni tena, Magufuli kabomolea nyumba watu bila fidia hata ya viwanja mpaka watu wamekufa kwa pressure wanaharakati wote kimya! Fukuza fukuza za watumishi bila kusikizwa zimeendelea wanaharakati wote kimya! Raisi several times anahamasisha polisi kuua kwa risasi, but hakuna cha Kibamba wala Kijo Zbi simba anayeleta fyoko! Raisi amezuia bunge live, amepiga marufuku mikutano ya kisiasa, anawa harass wapinzani akina Lissu but watetezi wa haki za binadamu ni kama vile hawayaoni!
Maisha mtaani hayashikiki but wote kimya! I am sure haya yangefanyika kipindi cha JK nchi isingetosha kwa matamko, maandamano na makongamano!nadiriki kusema walikuwa wanamsumbua JK si kwa lolote ila ni kwa DINI yake tu! Ni unafiki wa hali ya juu. Hata issue ta katiba mpya hakuna mtu anayeiongelea tena! Kumbe hata nayo hatukuihitaji bali ilikuwa ni njia tu ya kumsumbua Jk! Laani hii haitawaacha
Chief!!!
Itakua wewe umelala, ukaota ndoto mbaya kisha ukastuka usingizini ndipo ukaja na bandiko hili...

Maana nimetafuta pahali heading ya makala yako inapo fit in katika makala yenyewe sipaoni.. to be honest hata wewe mwenyewe huwezi kuzioanisha...

Sasa nimebaki najiuliza huo udini umekujaje?? Aliyemchagua JK kwa minajili ya udini ni nani mpaka aandamwe kwa dini yake??
Haya mambo ya kidini dini yanatoka wapi ?? na Taifa halina dini isipokua watu wake ndio wenye dini...
Kwanini unatumia dini kama 1st line of defense?? Leo JK kawa shujaa, vipi wakati mkimuita dhaifu??
Kwa kifupi hiyo dhana uliyo nayo ndio tunayo iita ""Inferiority Complex""
I suggest you sholud refrain from it haraka sana, maana haina maana wala baraka..

Kama kweli wewe ni muumini safi wa dini fulani na huna nia ovu ya kuchochea mgogoro wa kidini baina ya watu wa taifa moja.. then usiwe mnafiki.. maana unafiki ni dhambi inayokatazwa na kulaaniwa na vitabu vyote...
 
Wanajamvi mtakubaliana na mimi kwamba kabla ya Raisi Magufuli na awamu ya Tano kuingia madarakani, watu waliojiita wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa na fujo sana sana! Walimsumbunbua JK kwa matamko na makongamani ya kila siku! Mtu aliyeitwa Deo Kibamba alifikia hatua ya kumshtaki Jk ICC kwa kauli yake kwa wana CCM kwamba msiwe waoga!kulikuwa na matamko na waraka wa makanisa!Watu wa Tamwa na Tawla akina Ananilea Nkya walikuwa wakali kama pilipili!watu walijazwa chuki dhidi ya JK hadi akawa anaonekana kama ni kiumbe asiyefaa kuwepo duniani! Hadi kwa wafanyakazi ambao alikuwa anawaongezea mishahara kila mwaka!wanahitimu walihamasishwa kuandamans pale sjira zao zilipochelewa!Lakini harakati zote hizi hatuzioni tena, Magufuli kabomolea nyumba watu bila fidia hata ya viwanja mpaka watu wamekufa kwa pressure wanaharakati wote kimya! Fukuza fukuza za watumishi bila kusikizwa zimeendelea wanaharakati wote kimya! Raisi several times anahamasisha polisi kuua kwa risasi, but hakuna cha Kibamba wala Kijo Zbi simba anayeleta fyoko! Raisi amezuia bunge live, amepiga marufuku mikutano ya kisiasa, anawa harass wapinzani akina Lissu but watetezi wa haki za binadamu ni kama vile hawayaoni!
Maisha mtaani hayashikiki but wote kimya! I am sure haya yangefanyika kipindi cha JK nchi isingetosha kwa matamko, maandamano na makongamano!nadiriki kusema walikuwa wanamsumbua JK si kwa lolote ila ni kwa DINI yake tu! Ni unafiki wa hali ya juu. Hata issue ta katiba mpya hakuna mtu anayeiongelea tena! Kumbe hata nayo hatukuihitaji bali ilikuwa ni njia tu ya kumsumbua Jk! Laani hii haitawaacha
Sure kaka udini upo hasa upande flan wa misalaba
 
Mtoa mada, unataka kutuambia Kibamba na Kijo ni wakristo ndio maana sasa wako kimya kwa mkristo mwenzao uncle Magu, na walikuwa wakali kwa JK kwa sababu alikuwa Mwislam?

Jichunguze kaka, inawezekana kuwa wewe ndio mdini
 
Safari hii ukiongelea udini "WATU WANANUNA SANA" Hiko kitu hawataki kukisikia wala kukisoma,ni hao hao waliokuwa wakikiongelea humu kwa bashasha kila zinapofanyika teuzi kila linapotokea jambo lolote hata lisilohusiana na dini na wakaenda mbali mzee wa watu wakamwita "MSWAHILI",ila leo ukigusia ni kama unawatwanga sindano.Ndio maisha hayo ya KINAFKI.Leo inakuja dhana ya "HAIJALISHI AWE MUISLAM AU MKRISTO ILA AWE NA SIFA" wakimaanisha elimu na mengineyo,sasa lazima UNDUMILAKWILI ukomeshwe hapa ndipo wanyooshewe vidole wengine..................
 
Back
Top Bottom