Recent content by Igwachnya

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

    Kweli alfu kumi ni hela ya kuifungulia thread?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusajili ardhi sehemu ambapo tayari kuna nyumba

    Ahsante sana mkuu... Sasa utaratibu wa kusajili ardhi iliyoendelezwa ukoje?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusajili ardhi sehemu ambapo tayari kuna nyumba

    Heshima mbele sana wakuu. Kama ilivyoelezwa kwenye kichwa cha habari hapo juu, naomba kujuzwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kusajili eneo ambapo tayari kuna nyumba na watu wanaishi. Inawezekana kusajili Ardhi ikiwa ni pamoja na nyumba hiyo? Natanguliza shukrani zangu za dhati
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wapi Shock-up za HONDA CR-V?

    Nina namba ya duka la spea za Honda, ukitaka naweza kuku pm, umuulize kila kitu. Nina honda hiyo pia
  5. I

    JamiiForums Tanzania What Do U See?

    Mi nimeangaliaaaaa Nimewaona kumi nikawawekea vidoti...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Utamu wa penzi

    Kwa hiyo NIKHA umejiunga JF kutafuta utamu wa penzi....? Relax, Hapa ndo nyumbani kwa utamu wa penzi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Hepatitis B ni homa ya ini kwa kiswahili. Homa ya Inni umeanza kuwa tishio kama ilivyo katika ugonjwa wa ukimwi, na maambukiz yake ni kama yalivyo katika ugonjwa wa ukimwi mbaya zaidi ukigusana na jasho la mtu mwenye ugonjwa huo au kunyonyana ndimi, kufanya ngono zembe au kinyume na maumbile na...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

    Hawa watoto wanatabia za ajabu ajabu... Ni kweli kuwa mazingira yamekuwa tofauti lakini boom (kama unapata 100%) linatosha kuishi. Mimi sikuwa na baba, mama wala ndugu wa kunisaidia bt niliishi chuo kwa boom huku nikiwasupport (fully) wadogo zangu wawili secondary, Sikuwa nakaa hostel...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashoga yaongezeka nchini

    Kama kumbu kumbu zangu zipo sahihi, matokeo ya utafiti yalikuwa yanasema kwamba asilimia 70 kati ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia walihojiwa na asilimia 23 walikiri kuwa na wameoa na wanafamilia pia.. Hakuwezi kuwa na 70% ya wanaume wa tanzania wanashiriki mapenzi na wanaume wenzao...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Jumamosi hii: Dawati la jinsia

    Binafsi, Nimeshajaribu sana kufanya kazi na dawati la jinsia. Nimeshapeleka kesi 4 na sikuwahi kupata msaada hata kidogo... Namaanisha 0% cooperation. Kwa uzoefu wangu naamini hawa nao ni polisi tu kama polisi wengine ambapo weledi bado ni tatizo sana na pili hawa nao ni sehemu ya jamii ambapo...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kutoa Lift kwa Watu au Wanafunzi

    Mkuu wewe lazima utakuwa mimi... Story yako ni exactly kilichonipata
  12. I

    JamiiForums Tanzania mwenye gari ya kuuza ani pm fasta

    https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/404838-nissan-primera-2004-for-sale.html Mimi nauza hiyo hapo juu kaka if you are interested send me a PM
  13. I

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliomba mikopo ni kubwa kuliko ile ya TCU.

    Nadhani wengine ni wanaoendelea na masomo ambao walijianzisha kama private na sasa wameamua kuomba mkopo
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

    Kumbe wa dada wa NMB ni noma. Ngoja na mimi nitafute mmoja
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

    Kama yeye hataki kufungulia radio kwa sauti kubwa kwa nini wewe usifungulie yako ili usisikie
Back
Top Bottom