Recent content by Igulu Bugomola

  1. I

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nina Hometheatre yangu LG Watt 1200 ambayo deki yake imeharibika. Napata wapi deki nyingine maana nmetafuta sana nmechoka.
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila maisha

    Kuna mambo yanaumiza sana maisha, sasa mtu anaposema analala njaa namuelewa… hali hii ndiyo niliyonayo kwa sasa. Naomba sana wanangu au mtu yeyote asije akapita kwenye mapito yangu
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Chuo cha CBE ndo matumizi ya l na r yako hivyo?? Tokeni mkanushe
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni hatari anayebisha nipo Kinondoni

    Hakuna kitumbua cha kusindikiza hii chai
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

    Hii chai na hili jua
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

    CUF hii hii ya Lipumba??
  7. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajira za Kampuni ya Nature's way

    Hawa ni sawa na NEO-LIFE wapo hapa Dar Mwenge. Wanauza madawa wanayodai ni food suppliments ila kiingilio ni pesa. Wako kwenye mfumo uleule wa network marketing unaoliza watanzania. mshauri achukue hela yake akafanye jambo jingine
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yamenichapa haswa

    I can feel unachopitia. Ww bora hata ghetto unalo, mm nimekuwa homeless nazurura tu sina makazi maalum
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mada ya kuulizia walipo watu mashuhuri ndani na nje ya Tanzania

    Yuko wapi CHARLES MAGARI, mwigizaji maarufu wa movie za kibongo
  10. I

    JamiiForums Tanzania Historian ya wimbo wa Malaika ambao mkenya inadai ni wao

    Uzi bora sana
  11. I

    JamiiForums Tanzania Historian ya wimbo wa Malaika ambao mkenya inadai ni wao

    Bonge la historia
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia mpenzi wangu au kumshawishi tutumie condom wakati miaka ya nyuma tulishiriki tendo kwa pamoja bila ya kinga?

    Badala ya kuniambia tukapime, umekuja kuanza kunitangaza huku?
Back
Top Bottom