Pole
Shida itakua kwako au umeme
Ac hasa Lg dual inverter hazili umeme
Usiku mzma inaweza pga kazi isimalze unit 2 mana inawaka mda ikihtajka kupoza tu ila room ikipoa inajzma inabak fen pekeake kuzd kusambaza hewa ndan
Shida itakua n hivi
1. Unawasha Ac alaf unakaa unasoma umeme kama...
nmesafisha negative zinazounga kwenye body, taa zote hzo mbili zmetoka na gari imewaka.
Lakini baada ya siku mbili imerudi taa ya oil tu ukiweka switch on hata kabla hujawasha gari taa inakuja alafu gari haiwaki
Huo ndo mtihani ulobaki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.