msangi360
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 283
- 308
Nina miaka 23 ni mvulana, tangu nimemaliza elimu yangu ya diploma nimekuwa nikifanya temporary work katika kampuni flani kwa mda wa miezi mi nane. Kazi nilizokuwa nazifanya ni..
1)kusimamia mafundi katika kazi, 2)kuusoma mchoro na kuelekeza mafundi jinsi mchoro unavotaka,
3)kuandaa ripoti ya kazi,
4)kuwasimamia vibarua na kuwapangia kazi,
5)kusimamia usalama katika site, na kazi nyinginezo ambazo zinakuwepo site.
Kilichotokea ni kwamba kazi zimesimama, na baada ya kuona hivi nikaona niweze kutafuta sehem ambayo ntapata kazi na kufanya maisha yasonge mbele.
Nina vyeti vyote vya taaluma yangu. Naishi Arusha ambapo ndio nilikuwa nafanyia kazi, ila nyumbani kabisa ni Kilimanjaro. Nitakuwa tayari kufanya kazi sehem yeyote ile ndani ya nchi.
Mawasiliano yangu ni 0629954028.