Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

RSPK.gif
 
Kweli kabisa lipa kwa simu ya tigo iko juu sana compared na lipa kwa mpesa, ninazo zote mbili ila hata wateja wa Voda nawashaur walipe kwenye tigo tuu
Wa Voda wanalipaje kwenye tigo inawezekana?
 
Ni kweli mpenzi tigo ni safi kwa utoaji wa hela ila vodacom wai mbaya .
Tigo ndio nzuri mitandao yote kwa kutoa pesa
 
Nmetoa 11000 mmekatwa 1400 tgo kwenda voda kwa lipa namba huu n upuuz kabsa na bado mhudum katoka na 500
 
Nmetoa 11000 mmekatwa 1400 tgo kwenda voda kwa lipa namba huu n upuuz kabsa na bado mhudum katoka na 500
Nzuri tigo upate lipa ya tigo ila lipa ya Vodacom unaweza kulipa kwa airtel na voda yenyewe,ya makato mazuri kwa lipa ni airtel tu
 
Back
Top Bottom