Recent content by IGHUKA YANGU

  1. I

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma yatangaza nafasi za kazi 222 Muhimbili.

    attach certified copy of original
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe amjia juu Polepole kuhusu 'kigogo wa CHADEMA' anayetarajiwa kuhamia CCM

    Siasa ni utajiri unaotokana na jinsi gani unavyopangilia maneno yako vizuri, natamani sana niwe mwanasiasa ila ngoja nikomae na ujasiriamali wangu kwanza.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nikibadili Email kuna tatizo?

    unge reset password ila sio kubadilisha email yako
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kubakwa na kunyongwa kwa mtoto Dar; vijana wa kiume waliokuwa kwenye hiyo nyumba

    Mke wangu aniletee dada zake nikae nao ...tena akisafiri aniache nao tu sio mbaya
  5. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yakerwa na CHADEMA kuwazuia waandishi wa TBC

    Mkuu hongera naona umepata " likes"za kutosha
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya school candidate na PC kwa mitihani ya form six?

    mkuu nimesoma under PC na nilipata B mbili na C moja so ingekua ni School candidate B ni A na C ni B?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Afisa Mkuu wa ACACIA azuiliwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nyerere

    Ngoja tuone hii game itaisha kwa matokeo gani ,either win ,loose,Draw ndio tunachosubiri but kupoteza kwa upande wetu ni 70% na 30% ni sare ila baada ya hili kuisha watabadili njia ya jinsi ya kutuibia.Njia rahisi ni kwa wao kuweka serikali madarakani ambayo itakua ipo kulinda maslahi yao na kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos awa tajiri wa kwanza duniani

    Bill Gate ni strategist mzuri sana soon atarudi kwenye number yake
  9. I

    JamiiForums Tanzania X wa mke anadai mimba ni yake!

    Huyo mwanamke kafanya mapenzi na mwanaume mwingine na tayari upo nae wewe,jiongeze hapo sepa endelea na mambo mengine tu huyo hakufai
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nimetuma sh 200,000 kimakosa!

    Kwa voda ni ngumu kuipata hio pesa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawa nchi ya 5 duniani kwa uchumi unaokuwa kwa kasi. Kenya ya ngapi?

    Mkuu Afya sijaona inayonifaa maana ni muhasibu au Banker
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawa nchi ya 5 duniani kwa uchumi unaokuwa kwa kasi. Kenya ya ngapi?

    mpaka nipate ajira ndio nitaamini uchumi wa nchi umekua
  13. I

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatoa angalizo kwa waombaji wa kazi

    me nimetuma maombi bila ku certify vyeti kwa hio nirudie tena kuomba
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

    isije ikawa ni wanaume wa dar tu .?
  15. I

    JamiiForums Tanzania ACT kwa utulivu wenu mnaingia ikulu

    mkuu hili nadhani ni andiko bora kwangu kwa leo ngoja niende kwenye ibada
Back
Top Bottom