BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Pole sana....
Hahaha mtani wewe noma..kwa hiyo unamshauri atumie tekniki yakohahaha, ni ngumu kurudisha, labda Voda wasubirie siku akiwa na hela kwenye a/c yake wamkate.
Kuna story moja bwana, shoga yangu alikosea hivyo hivyo akatuma elfu 52,000/= kwa makosa zikaenda kwingine tena Njombe huko. akawa kila akimpigia hapokei, basi tukapanga kumtisha. mie nikamtumia meseji kuwa ni mchawi/mganga wa kienyeji kuna mteja kaja kwangu anataka kukudhuru kwa kuwa hutaki kurudisha pesa zake, ila nimeona nisifanye lolote kabla sijakupa taarifa. Huwezi kuamini mtani, yule dada alirudisha fasta zile hela. hahahha yaani tulicheka kweli maana hatukutegemea kama angetishika na kitisho cha kitoto na namna hiyo.
Hiyo haiwezi kuzaa matunda, sie tulibahatisha, nadhani na huyo mlengwa wetu alikuwa "mshamba" kiasi Fulani, hahahahaahahHahaha mtani wewe noma..kwa hiyo unamshauri atumie tekniki yako
Teh teh teh kweli ushamba unachangiaHiyo haiwezi kuzaa matunda, sie tulibahatisha, nadhani na huyo mlengwa wetu alikuwa "mshamba" kiasi Fulani, hahahahaahah
We ni mzembe,yaani unatuma hela haukiki Namba ya unaemtumia wala jina,,iyo hela uwezi kuipata tena sahau, ,na hana kesi huyo jamaa uliemtumia kimakosa,, ndugu yako amekupa namba iliyo sahihi, ,kwann ukutuliza akili wakati unatuma iyo hela, au alikupa namba ambayo sio correct
mkuu usimlaumu mtu kwa kosa ambalo hata wewe unaweza kulifanya. Alichokosea ni kutohakikisha muda huohuo kama hela imefika kwa muhusika.We ni mzembe,yaani unatuma hela haukiki Namba ya unaemtumia wala jina,,iyo hela uwezi kuipata tena sahau, ,na hana kesi huyo jamaa uliemtumia kimakosa,, ndugu yako amekupa namba iliyo sahihi, ,kwann ukutuliza akili wakati unatuma iyo hela, au alikupa namba ambayo sio correct
Hapana
Mkuu siyo uzembe, hiyo inatokea, has hizo siku za smart phone, kukosea number au helufi ni kitu cha kawaida.
Fuatilia pesa yako,usikate tamaa,mpaka airudishe.Nenda police,Voda na endelea kumuambia akurudishie hiyo pesa maana siyo yake.
Haaaaaa na ushirikina wewe kazi mnayohahaha, ni ngumu kurudisha, labda Voda wasubirie siku akiwa na hela kwenye a/c yake wamkate.