ACT kwa utulivu wenu mnaingia ikulu

Nilisema mwanzo tu CHADEMA hamjui kujenga wala kujibu hoja ila nyie ni wazuri sana kwa matusi. Kwa msomi aliyetulia hawezi act kwa andishi langu kwa matusi ila kwa hekima. Na hii ndiyo kasoro kubwa ya CHADEMA. Endeleeni.
 
Ulitaka upigwe mabusu ya pongezi kwa mwandiko wa kucharaza? Hahahahaaa!
 
Hivi hao akina Bulaya na Mdee lile kosa ni kubwa kiasi kwamba kuhatarisha ubunge wao hapo baadae au ni siasa maji kinyesi tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom