Recent content by Igauri Kwetu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wakati mgumu kwa wajumbe Kamati ya Mambo ya Nje

    Muleta mada nae Lowasa ni mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje?? Acha kutumwa Kama hujitambui si ukae pembeni.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu: Ni Lowassa Pekee Ndiye wa kuibomoa UKAWA!

    Hata watoto sijui amewanunuaje huyu mtu
  3. I

    JamiiForums Tanzania JE NIISUBIRI LG G4 au NICHUKUE iPHONE6+ au GALAXY S6

    Kwa tuliozoea iPhone naikubali 6+
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

    Mimi siringi kabisa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

    Nadhani aamue moja pale hatumiki anasindikiza wenzake amekuwa nyuma hata ya Babra
  6. I

    JamiiForums Tanzania Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

    Ukiteremka nitapanda Salamu huna kazi kusoma profile za watu Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa!!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Zari atajuta kuzaa na Diamond, Diamond hajatulia bado anapepea

    Alikuambia anamzalia kwa kumtuliza ?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kamati Kuu CCM kukutana Mei 23 Dodoma kujadili ajenda mbalimbali

    Wewe nawe ni mtanzania?watanzania wakiambiwa watoke mbele nawe UMO!!!!?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

    Tatizo ni nyota hata ukibonyeza reli haitasaidia wewe ongeza salio!!Ndorobooo
  10. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Natamani kufahamu zaidi logic ya huyu binti Askari kubebwa?!!!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Mbona hajatueleza haswa nini kilimpelwkea kumbeba yule binti Askari?hivi baba ya yule binti Askari aliona alijisikiaje?na mkewe Lazaro naye kafurahi eti?!Ana moyo wa mninga haki ya Mungu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

    AMA kweli huwezi zuia mafuriko kwa mikono!Tui ni tui la kwanza la pili Maji
  13. I

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Utamu wa chips mimba
  14. I

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Usiku mbu mchana dengue na wanaa bado wapo!
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nkurunziza's flight fails to make landing at the Bujumbura airport

    Jamani huu unacheka mpk basi
Back
Top Bottom