Recent content by Igabiro

  1. Igabiro

    Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    Leo nimeona maajabu kwa jiografia ya zanzibar kuwa ndogo na matokeo kutangazwa baada ya masaa 18 baada kumaliza kupiga kura. Uchaguzi wa awali hadi siku tatu matokeo yalikuwa bado yanatangazwa. Hongera Zanzibar kwa kufanya maamuzi.
  2. Igabiro

    UKAWA naomba tuangalie Takwimu hizi za tume juu ya Urais tujadiliane

    Lowassa Kapata 6042 na sio 6420, kuweni makini na upotoshaji
  3. Igabiro

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Du Kurugenzi ya Ikulu inatuambia Wilaya ya Chato iko Mkoa wa Kagera kweli????
  4. Igabiro

    Tanzania yaendelea kuporomoka viwango fifa

    Soka la bongo sasa linaelekea kusikoeleweka baada ya kuporomoka nafasi ishirini kutoka 107 hadi 127. The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
  5. Igabiro

    Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

    Hebu kwanza angalia jezi hizo hapa Hizi jezi wametengenezea Mwege kwa fundi kadago au? maana hata bland name hazina kabisa......
  6. Igabiro

    Kanda ya Kaskazini CHADEMA hawakubaliki, wanategemea Kanda ya Ziwa na Magaharibi

    ha ha ha Ambako tayari wameanza kumeguka baada ya kumpiga chini ZZK mwenye ushawishi mkubwa uko
  7. Igabiro

    Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

    Angalia picha ya jamaa waliokuwa kwenye tukio ilala
  8. Igabiro

    Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

    :eyeroll1: very bad
  9. Igabiro

    Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Ambulance ya Manispaa Kwisha Magari ya Watumishi nayo hakupona Ofisi nazo
  10. Igabiro

    Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

    Sio andasketi tu, Hata chupi siku hizi hawavai kabisa....
  11. Igabiro

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa 'picha' ya aliyemuua padre Mushi

    Kuchora, kuchora kitu gani? hata waliochora hawakuona ndani................................
  12. Igabiro

    Former Italian Prime Minister Silvio Berlusconi Given 12 Month Prison Sentence

    S:Former Italian Prime Minister Silvio Berlusconi sentenced to year in prison in banking wire-tap scandal. source bbc
  13. Igabiro

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 344,794, Raila Odinga (ODM) 233,179, Mudavadi (UDF) 12,322, Kiyiapi (RBK) 2,468, Kenneth (Eagle) 3,062, Karua (Narc Kenya) 2,171, Dida (ARC) 1,207
  14. Igabiro

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 310,880, Raila Odinga (ODM) 210,418, Mudavadi (UDF) 9,825, Kiyiapi (RBK) 2,212, Kenneth (Eagle) 2,810, Karua (Narc Kenya) 1,929, Dida (ARC) 1,120
Back
Top Bottom