Recent content by Idodi

  1. I

    Ni kweli mwenge haukufika kileleni?

    Wewe jason wewe, huogopi?
  2. I

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Aseme nini? Kwani yeye hajipendi. Akisubutu kusema tu magamba wanamrudisha tena Apollo. Kaa kimya kaka, yaishe.
  3. I

    Kwa nini Marais wa E. Africa hawakuhudhuria Maadhimisho??

    Hiyo jumuiya yenyewe isha sambaratika. Haipo tena. Thus why hata Burundi jk hakwenda.
  4. I

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Maneno matupu hayasaidii. Andamana mkuu,,,,
  5. I

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    Unachangia hoja ipi? Iliopo mezani au una yako binafsi
  6. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Mie niko Somali Land cjui nini kimejili huko.
  7. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Ye anadhani wote tuko nchi ya magamba. Wengine tuko Somali land
  8. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Hujasomeka. Weka mambo wazi, imekuaje!
  9. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Hujasomeka mkuu. Weka mambo hadharani.
  10. I

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    Ngoja nitoe nauri, konda ananidai, dereva anasema mi staff. Hawa nao wanapingana.
  11. I

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    U are wormly welcom mzee 6. Achana na siasa Uchwala za Magamba.
  12. I

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    U are wormly welcom mzee 6.
  13. I

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Wewe ukiona mabango ya tigo, vodacom, airtel, hotels, mabenk, ccm etc ndio unaona maendereo ya current president sio? Unashindwa kujua kulikua na ATC, NMC,TRC, TFA etc vyote mali ya Mwalim na leo havipo tena. Unajua pele kiwanda cha unga cha Bakhresa kulikua ni NMC leo iko wapi??? Acha bana...
Back
Top Bottom