Mwenyewe hataki kusema ss serikali iseme nn
Aseme nini? Kwani yeye hajipendi. Akisubutu kusema tu magamba wanamrudisha tena Apollo. Kaa kimya kaka, yaishe.
Mwenyewe hataki kusema ss serikali iseme nn
kwa mwonekano huu, anafaa kuwa rais, utadhani sata, zuma na wenzao wakongwe?
Hivi kweli hiyo picha ni ya Mwakyembe? acheni utani bwana! kwenye mambo serious
Labda bado anajipanga kusema, tusubiri tu si unajua jamaa hapendi kukurupuka.
Itakuwa picha Joseph Mungai hii...
Hiyo picha ni Mwakyembe tunayemjua ama ni kaka yake?
Asante, nilifikiri macho yangu hayaoni vizuri kumbe tuko wengi.Hiyo picha ni Mwakyembe tunayemjua ama ni kaka yake?
Asante, nilifikiri macho yangu hayaoni vizuri kumbe tuko wengi.
Mie nahisi hiyo picha ni ya babake asee manake daaah! Kazeeka mbaya kabisa.