Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KICHAKA, Dec 6, 2011.

 1. KICHAKA

  KICHAKA Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama mambo hayatakuwa upande wao katika CCM.

  Taarifa za karibu na mbunge wa Arusha Mjini CDM zinaeldeza kuwa, mbunge huyo alikutana na Sitta kabla ya Sitta kumwagia sifa huku Sitta akimuelezea kuwa anakubaliana naye katika hatua za kuufanya mkoa wa Arusha usitawalike kwa kuwa unampaka matope EL. Hata hivyo, Sitta aliambiwa na watu wa karibu na Mbunge Lema kuwa, Arusha ikibaki hivi ilivyo CDM watashinda kirahisi mwaka 2015 lakini Sitta asijihakikishie kuwa huo ndio utakuwa mtaji wake kuingia CDM kwa kuwa chama hicho kwa sasa kina vigogo wengi wenye ushawishi kuliko yeye Sitta. Hata hivyo kauli kutoka kwa kiongozi mmoja wa CCM ambaye yuko karibu na Waziri Mkuu Pinda alikimbia chanzo cha habari hii kuwa, Sitta sasa ameanza kupambana na serikali na hasa nafasi yake Waziri Mkuu ambayo ndiyo hasa kimsingi inasimamia mgogoro huo wa Arusha. "Tunajua katika CCM nini anachofanya Sitta, naona wameanza kuungana na kuonyesha kambi yao mapema. Hii inatupa urahisi kwa kuwa kambi zote sasa zinazjulikana kama ulivyoona kule Arusha juzi," chanzo hicho kilifafanua. Chanzo hiki kinaonyesha kuwa mpango wa kuchangisha harambee mbalimbali ulioasisiwa na Edward Lowassa sasa umechukuliwa na kambi ya Sitta akishirikiana na watu wake wa karibu na una lengo la kuhakikisha kuwa wanashindana na Lowassa katika kupita maeneo mbalimbali ya nchi.

  Hata hivyo baadhi ya wananchi waliozungumza na vyanzon vyetu wameonyesha kufurahia harambee hizi na wakawataka wanaojipitisha pitisha kuongeza nguvu ili kutatua kero za wananchi kwa kuwa serikali inaonyesha kulemewa. Taaarifa zaidi subiri magazeti yajayo.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Napita tu!! Nimechoka na hizi fununu za kila siku. Wafanye kweli, Lol!
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mataputapu
   
 4. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  We dont want people lyk sitta in chadema......i promise you in 2015 worms will feast in ccm genitals if not their hollows!
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  ......tena ya mchanganyiko wa wanzuki na mtukuru.... nafuuu hata yangekuwa ya kibuku
   
 6. I

  Idodi Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U are wormly welcom mzee 6.
   
 7. I

  Idodi Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U are wormly welcom mzee 6. Achana na siasa Uchwala za Magamba.
   
 8. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijakuelewa mkuu nahisi habari ya ko ni ya kijiweni. in short no connection of ideas.heading yako na kilichomo ndani ni vitu viwili tofauti. sijapata issue ambayo ni critical. umeandika kama magazeti ya udaku
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu japo siamini maneno yote yaliyomo kwenye post yako lakini kitu kimoja kinaonekana kuwa wazi: Ukaribu wa Sita na Lema una kitu ambacho kitatoa mshindo mkuu
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hivi kuna chama makini kinaweza kumkataa mtu makini kama sitta?sidhani.
   
 11. i

  ibange JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi bado naiota combination ya sitta na Dr Slaa mmoja rais mwingine PM.Tanzania tutapaa!
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Membe ,(Mwandosya group now supports him).....so now Membe group comprise of Sitta,Nape,Nyalandu,Makongoro,etc..etc..
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  naweza kutunga hadithi...thumbs up!
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sitta anafaa kuwa rais wetu kuliko vihiyo waliotangulia na huyu aliyepo.
   
 15. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Anafaa kuwa spika, huyu wa sasa ameshindwa kazi. 6 nakushauri nenda kwenye chama makini - cdm
   
 16. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  CDM tumekamilika hatutaki magamba
   
 17. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  anafaa anaweza aendee
   
 18. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sitta VS Lowassa

  Patamu hapo, mengi tutayasikia kipindi hiki, tuombe uzima
   
 19. M

  Middle JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nani kati ya 6 vs El anafaa kuwa rais?natamani ufiki 2015 tuone.ila ars km cyo wananchi wamechoka na hali ya maisha
   
 20. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,457
  Likes Received: 10,665
  Trophy Points: 280
  sitta aamue kimoja kusuka au kunyoa.
   
Loading...