Recent content by ichiiza

  1. I

    JamiiForums Tanzania Siku nilipoopoa Jike-dume

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na huyu mwanamke

    Nimewaza hili nami,kazi na sala mchanganyo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Jiunge na jumuiya kwanza uwe mshiriki mzurii utoe zaka fungu la10 ufate taratibu zilizopo huzuria misa jipe muda kidogo,unapokelewa vizuri na ndoa utafunga usiogope
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu za kuachana na mpenzi wako mnayefanya kazi pamoja

    Mwanaume anaejiona mzuri,anaetoa nafasi ya kusikiliza maneno ya mtu yawe kweli au si kweli,ni HATARI,inaonyesha bado anautoto mwingi,tuliza akili dada jaribu kuongea nae kwa UTARATIBU,ujue msimamo wake juu yako,JIAMINI maisha ndo hayahaya kwa nini uteseke.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

    Nikupe siri sasa hao unaowaita wabaya mara njingi hupata wanaume wenye mvuto,jitasmin kwanza,usikute ye mwenyew anakuona mbaya pia
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Si ndo apo sasa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Kweli
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua ni kwamba mwanaume ni kiumbe mstaarabu na muungwana sana

    Hakuna mkamilifu jaman
  9. I

    JamiiForums Tanzania "Usitegemee Mama mzazi kumpenda mkeo, au mkeo kumpenda mama mzazi"

    Si kwa wote,mama mkwe wangu alikua na upendo nami nilimpenda sana,bahati mbaya mama yangu mzazi alitangulia mbele za haki alisimama nami tangu anaumwa mpaka mwisho wa kumuhifazi,alinifariji na kuniongoza sana,Bahati mbaya nae amefariki mwaka jana,Nazani inategemea.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

    Kwa kweli,hamnaga mkamilifu duniani,na hatufanani
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mna shida gani?

    Kama nimekuelewa hivi
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jumapili yangu.... Kisela zaidi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. I

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ex wangu tuliyependana sana, nilimcheat aka-move on, kanitafuta turudiane tena

    Vaa viatu nya huyo dada ulionaye kwa sasa
Back
Top Bottom