Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Mwanamke huna mvuto, maringo ya nini ukitongozwa?

Habari wakuu

Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee

Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa maringo ukimsemesha na kumtongoza

Wanaume tunahuruma sana, mademu wabovu tunawatongoza kuwapa kampani tu na kuwaondolea ile hali ya kijiona si kitu kwa sababu tu hawana mvuto na hawatongozwi, unataka kuwasaidia unaishia kuchezea maneno ya shombo as if unaitaka ya wema sepetu aseeeee

Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Mwanaume Kajitoa muhanga kukutongoza bado unaleta
nyodo Dada angu unaitaji maombi Aise
Mtuache.
30 kitu gani?[emoji2]
Hata ingegonga 50,,Kama hatujawaelewa tutawakataa tu.
 
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!

Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!

Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Ni katika hali ya kumsaidia yeye mwenyewe apozapo hata nyege lakini yeye anajiona mwamba zaidi
 
Nikisoma uzi huu, aibu naona mimi[emoji50][emoji23]

Sasa kwa kuwa yeye ni mbaya ndio amkubali kila mtu? Huo ubaya unauona wewe, yeye anajiona mzuri! Kwanza hakuna binadamu mbaya,, kusema hivyo ni kukufuru Mungu.
 
Ungekubaliwaa napo ungekuja na uzii hapa kuwa mademu niwepesi maharage ya mbeyaa Kama kakukataa ujuee na wewe hujawa na viwango anavyovitaka hujamvutia huendaa nayeye anawaambia mashost zakee kunaa mwanaume kanitongozaa mbayaaa huyoooo
Hakuna mwanamme mbaya,,, uanaume psea tu unakua handsome
 
Nikupe siri sasa hao unaowaita wabaya mara njingi hupata wanaume wenye mvuto,jitasmin kwanza,usikute ye mwenyew anakuona mbaya pia
 
Habari wakuu

Mnajua kuna wanawake wanashangaza na kustaajabisha sana asee

Yaani unakuta mwanamke hana mvuto wowote na pia hana hata wanaomtongoza kwa sababu ya mapungufu yake lakini amejaa maringo ukimsemesha na kumtongoza

Wanaume tunahuruma sana, mademu wabovu tunawatongoza kuwapa kampani tu na kuwaondolea ile hali ya kijiona si kitu kwa sababu tu hawana mvuto na hawatongozwi, unataka kuwasaidia unaishia kuchezea maneno ya shombo as if unaitaka ya wema sepetu aseeeee

Unakuta mwanamke Titi ni kubwa balaa limelala, hips hana, sura ya baba yake, umri umegonga 30
Mwanaume Kajitoa muhanga kukutongoza bado unaleta
nyodo Dada angu unaitaji maombi Aise
Mama na dada zko wana mvuto? Uliwahi kumuuliza baba yako kama alimpenda mama yako kwa kua alikua na mvuto mzuri?
 
Rudi tena kamtongoze, mara ya kwanza wanakuwaga wakali sana
 
Wenye sura za baba zetu tunapata tabu sana aisee
.
tapatalk_jpeg_1568211858235.jpeg
 
Mtoto wa kike akipata sura ya baba wanakuwaga wazuri sana ujui tuu,,,na hiyo miaka 30 ni nini sasa?? Huyoo unayemwita mrembo wema ana mingapi sasa hivi acha ushamba bro
 
Sasa hana mvuto ujasiri wa kumtongoza unaupata wapi, unataka kitu ndicho aringiacho si mvuto
Kabla ya kupata leseni hua wanakupatia "Provisional Licence" lazima ujinoe kwa hao wasio na mvuto ili ukikutana na wenye mvuto unakua unateleza tu...
 
Komaa usikate tamaa utampata tu pamoja na kuwa na sura ya baba ake nyapu inakuwaga tamuuu hatar
 
Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!

Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!

Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Ndo hivyo mpambane na hali zenu sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom