USHAURI: Ex wangu tuliyependana sana, nilimcheat aka-move on, kanitafuta turudiane tena

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,031
2015 nilizama kwenye penzi nene na hyu bint sarah kwakwel tulipendana sana alinipenda sana hyu bibie nilimpenda pia nilitulia kwa ajili yake, na nilimtoa bikra. Sababu ya kuachana nilicheat kwa rafik yake kipenzi daah, kitendo kile kilimuumiza sana mpaka akavunja urafiki na kuachana na me

Ila wakati ananiacha alinipiga kibao kwa hasira na kunambia ananitakia mahusiano yenye furaha katika maisha yangu, alimove on mazima japo nilimwomba sana msamaha but ndo hvo. Japo alikuw akinitafuta kwa new no kujua kama nipo ok akikata cm tu hyo No siipati tena siku ingine ananitafuta kwa namba ingine ananijulia tena but ilipita 9months bila kunichek tena. Tuliachana 2016 tulidumu kwa mahusiano kama 1 & half
............………......*****************.......................

Jana nikiwa nimetulia zangu sina hili wala lile nachek movie mara shaaa cm ikaanza ita kuchek new No. fasta nka slide akanambia "me sarah kwa muda mrefu sana nmekuwa nakuignore coz sikutaka kuwa close na ww uliniumiza sana champagne but kipind chote nilichokuwa mbali na ww nilikaa almost mwaka bila mwanaume na sijawai pata mwanaume ambae nilimpenda kama ww mpaka sasa nimedate na wanaume 2 but wote niliwaacha coz nilikua sifeel kuwa nao, na since we broke up sijasex na mwanaume yoyote trust me. Nakupenda sana champagne nataka ujue siwez ishi bila penzi lako please naomba tukae tudiscuss next week nakuja dar Nakupenda sana byeee"

Kumbuka now nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine tunaenda 2yrs na hana kosa lolote ananipenda nampenda piaa. Kilichonifanya niombe ushaur wht I gonna do je nimkubalie ili niwe nae nimwache hyu current au nikatae au niwe nao wote tu, inshort am confused hapa sina choice wakuuu. Toka sarah anambie anataka tuanze new page inshort upendo umeanza kurudi tena kwa speed ya 5G coz ni mwanamke ambae tuliendana sana to be honest, afu nilimtoa bikra pia yan daah
NIPEN USHAURI HAPO TAFADHARI.
 
Fata moyo wako vile unataka lkn kuwa muangalifu kwa sababu miaka 3 huyo sara unajua kama alikuwa kicheche au unarizika vile amekuambia ametoka na 2tu
 
Shetani ukiwa uko single wala hana shida na wewe, paaah ukiingia kwenye mahusiano ndo unamuona shetani live..
 
Shikilia ulicho nacho,,,afu najua umepagawa kwa kuwa amekwambia hajasex na mwanaume mwingine hahahahaha mzee hata wewe ungetaka kurudi kwake ungesema hivyo na nakwambia kwa sasa huyo demu hawezi kuwa kama unavyotaka wewe na hayo mahusiano yenu hayatadumu kabisa utapoteza muda na mwanamke uliyenaye.
2015 nilizama kwenye penzi nene na hyu bint sarah kwakwel tulipendana sana alinipenda sana hyu bibie nilimpenda pia nilitulia kwa ajili yake, na nilimtoa bikra. Sababu ya kuachana nilicheat kwa rafik yake kipenzi daah, kitendo kile kilimuumiza sana mpaka akavunja urafiki na kuachana na me

Ila wakati ananiacha alinipiga kibao kwa hasira na kunambia ananitakia mahusiano yenye furaha katika maisha yangu, alimove on mazima japo nilimwomba sana msamaha but ndo hvo. Japo alikuw akinitafuta kwa new no kujua kama nipo ok akikata cm tu hyo No siipati tena siku ingine ananitafuta kwa namba ingine ananijulia tena but ilipita 9months bila kunichek tena. Tuliachana 2016 tulidumu kwa mahusiano kama 1 & half
............………......*****************.......................

Jana nikiwa nimetulia zangu sina hili wala lile nachek movie mara shaaa cm ikaanza ita kuchek new No. fasta nka slide akanambia "me sarah kwa muda mrefu sana nmekuwa nakuignore coz sikutaka kuwa close na ww uliniumiza sana champagne but kipind chote nilichokuwa mbali na ww nilikaa almost mwaka bila mwanaume na sijawai pata mwanaume ambae nilimpenda kama ww mpaka sasa nimedate na wanaume 2 but wote niliwaacha coz nilikua sifeel kuwa nao, na since we broke up sijasex na mwanaume yoyote trust me. Nakupenda sana champagne nataka ujue siwez ishi bila penzi lako please naomba tukae tudiscuss next week nakuja dar Nakupenda sana byeee"

Kumbuka now nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine tunaenda 2yrs na hana kosa lolote ananipenda nampenda piaa. Kilichonifanya niombe ushaur wht I gonna do je nimkubalie ili niwe nae nimwache hyu current au nikatae au niwe nao wote tu, inshort am confused hapa sina choice wakuuu. Toka sarah anambie anataka tuanze new page inshort upendo umeanza kurudi tena kwa speed ya 5G coz ni mwanamke ambae tuliendana sana to be honest, afu nilimtoa bikra pia yan daah
NIPEN USHAURI HAPO TAFADHARI.
 
2015 nilizama kwenye penzi nene na hyu bint sarah kwakwel tulipendana sana alinipenda sana hyu bibie nilimpenda pia nilitulia kwa ajili yake, na nilimtoa bikra. Sababu ya kuachana nilicheat kwa rafik yake kipenzi daah, kitendo kile kilimuumiza sana mpaka akavunja urafiki na kuachana na me

Ila wakati ananiacha alinipiga kibao kwa hasira na kunambia ananitakia mahusiano yenye furaha katika maisha yangu, alimove on mazima japo nilimwomba sana msamaha but ndo hvo. Japo alikuw akinitafuta kwa new no kujua kama nipo ok akikata cm tu hyo No siipati tena siku ingine ananitafuta kwa namba ingine ananijulia tena but ilipita 9months bila kunichek tena. Tuliachana 2016 tulidumu kwa mahusiano kama 1 & half
............………......*****************.......................

Jana nikiwa nimetulia zangu sina hili wala lile nachek movie mara shaaa cm ikaanza ita kuchek new No. fasta nka slide akanambia "me sarah kwa muda mrefu sana nmekuwa nakuignore coz sikutaka kuwa close na ww uliniumiza sana champagne but kipind chote nilichokuwa mbali na ww nilikaa almost mwaka bila mwanaume na sijawai pata mwanaume ambae nilimpenda kama ww mpaka sasa nimedate na wanaume 2 but wote niliwaacha coz nilikua sifeel kuwa nao, na since we broke up sijasex na mwanaume yoyote trust me. Nakupenda sana champagne nataka ujue siwez ishi bila penzi lako please naomba tukae tudiscuss next week nakuja dar Nakupenda sana byeee"

Kumbuka now nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine tunaenda 2yrs na hana kosa lolote ananipenda nampenda piaa. Kilichonifanya niombe ushaur wht I gonna do je nimkubalie ili niwe nae nimwache hyu current au nikatae au niwe nao wote tu, inshort am confused hapa sina choice wakuuu. Toka sarah anambie anataka tuanze new page inshort upendo umeanza kurudi tena kwa speed ya 5G coz ni mwanamke ambae tuliendana sana to be honest, afu nilimtoa bikra pia yan daah
NIPEN USHAURI HAPO TAFADHARI.
Angeyajua hayo mngekaa mkasuruhisha kwann aliondoka akafikil Yuki peke take dunia badilisha no Sara akikitafuta askupate coz ulishamuumiza hayuko peke yake 2year muda mrefu sana songa mbele na huyu was sasa kwasabab she is Innocent
 
Back
Top Bottom