Recent content by ichawinga

  1. I

    CHADEMA mmeonesha umahiri mkubwa wa kiutendaji mnastahili kukabidhiwa nchi 2015

    Mtoa mada umeina eeeeeeh people's power hiyo hakuna kulala hadi kieleweke mwendo mdundo mdogo mdogo hadi ikulu ccm wanajua hilo hedu fikiria ukitoa chadema chama gani kinainyima ccm usingizi...
  2. I

    CHADEMA inataka kwenda Ikulu kufanya nini?

    Kuwatumikia wananchi manake mmeshindwa nyie kwani hamjui malengo ya chama cha siasa hata hao cck na chausa hata tlp nibkuchukua dola mbona mnaogopa chadema kwenda ikulu kwani hii sio ikulu ya mbinguni ni ya watu bila sisi yaani mimi na wewe hakuna ikulu mbona ccm mnaogopa sana chadema na ole...
  3. I

    vijana 60 wa vyuo vikuu mkoani Morogoro waikacha Chadema na kujiunga na CCM

    Hao vijana ni wa vyuo vikuu au ni wa vyuo vikuu kuu manake siwaelewi hivi nchi hii kuna kijana wa chuo kikuu yaani elinu ya juu yuko ccm mi naamini kama hayupo upinzani basi hana chama ndio maana naamini hao ni vijana wa vyuo vikuu kuuuu.
  4. I

    Hotuba ya Mbowe katika Kongamano la Vijana la Miaka 52 ya Uhuru

    Lizabon.. sijakuelewa mzinifu kivip kwani yeye sio rijali husomi bibilia mbona mungu alimtuma mwanae kwa ajili ya wakosefu hapa tunaangalia uchapakazi wake hayo mengine mini mwenyewe sijakamilika au wewe LIzabini umekamilika..
  5. I

    Yu wapi Sioi Sumari?

    Mara ya meisho nilimuona kwenye misa ya shukurani kwa baba mkwe wake..
  6. I

    Hotuba ya Mbowe katika Kongamano la Vijana la Miaka 52 ya Uhuru

    Man of the peoples.... may GOd bless u..
  7. I

    Wanachadema Arusha vp tena?

    Nahisi watu bado wanawatafuta watu wa A town manake wakati wa uchaguzi mdogo wa wadiwani mlichonga sana lkn mkapigwa 4-0 sasa mnaanza ohh wanachama wa arusha sie yetu macho na masikio hii ndio r.chugga.
  8. I

    Wanachadema Arusha vp tena?

    Nahisi watu bado wanawatafuta watu wa A town manake wakati wa uchaguzi mdogo wa wadiwani mlichonga sana lkn mkapigwa 4-0 sasa mnaanza ohh wanachama wa arusha sie yetu macho na masikio hii ndio r.chugga.
  9. I

    Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    Huyu chalii hana mpya kabisa halafu namfahamu. Vizuri ipo siku nitamfungukia hadi ataenda TLP manake CCM wakimjua watamtoa mbio!'
  10. I

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Juliana Shonza we binti uwe unamwogopa mungu hivi Haya mambo unayo yasema sasa ulikuwa huyajui au umefundishwa na hao mambwa useme hivi manake tunaona mbona kuna vijana kibao wametoka Ccm wapo chadema na hawatukani viongozi wao hata Kama wamepewa udakitari na mavyeti ya kufoji kibao! Iweje wewe...
  11. I

    Majibu ya Sitta kwa Dr Slaa: Asema Dr Slaa Mnafiki, Dikteta

    mzee wangu sita nakuomba umalizie salama muda wako wa jimbo ili uweze kwenda urambo kuishi kwa amani na sivyo kutafuta uadiu na wapenda mabadiliko.. chaoo.
  12. I

    Kikwete sio wa Kumuamini

    huyo Lowasa na yeye hafai ndio anatambua sasa kuwa hafai mbona sisi akina hoehae tulisha tambua mchizi hafai toka kitambo tu tuombe mungu amalizie kipindi chake tumweke bogazi mwingine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. I

    Rais Abdulaye Wade wa Senegal akubali kushindwa!

    waungwana habari ya mchana napenda kuwataarifu ya kuwa KIKWETE WA SENEGAL kakubali yaishe mpinzani wake kachukua kiti cha uraisi kwenye duru ya pili ya uchaguzi kwenye nchi hiyo ya magharibi mwa afrika kwa taarifa tu!!!!!!:peep:
  14. I

    UDSM kumtunuku JK shahada ya falsafa ya udaktari?

    sasa naona udsm wanataka kucheza na watu wanao wazunguka, hivi huyo mtu wenu akipewa shahada ya falsafa kwani amefanya nini cha maana labda mkandara siku hiyo ya kumtunuku atasema kile alichofanya kwenye jamii yake, kwa mawazo yangu wangemsaidia mawazo ya ili aweze kwenda kudili na ishu nyeti...
  15. I

    Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

    Jamani huyu bwana lusinde leo nimemuona akichangia kwa kweli nimewasikitia watu wa mtera bora wangemrudisha babu malecela kwani huyu bwana fani yake nadhani ni ya vijembe ambavyo havina maana, wana mtera poleni sana............!
Back
Top Bottom