Yu wapi Sioi Sumari?

Yu wapi Sioi Sumari?

baba mkwe kamwambia atulie kwanza hadi kazi ya kupita misikitini na makanisani izae matunda mema.
 
Mara nyingi yuko Rose Garden anapiga viroba na rafiki yake Mlatie
 
Hujakosea kabisa ndio maana wengi wakishindwa maisha ndio wanakimbilia siasa au wakikosa la kufanya wanashinda kwenye ofisi za vyama kupeleka majungu tu......fanyeni kazi siasa ziwe sehemu tu ya maisha


Unaugomvi na Le Mutuz FM ES
 
Mkuu sio lazima uchangie thread, matusi, mapovu, jazba na kejeli havitakiwi.

hata hoja yenyewe imeletwa kimatusi, mapovu na kejeli... usitegemee kuuza utumbo halafu nyuki wajae hapo, watajaa nzi tu

hakuna sababu ya kufuata-fuata watu waliotulia na maisha yao...

akili ndogo huhangaika na watu; akili kubwa huwa bize na maisha
 
makalioni kwako. nafanya timing......

basi lazma utakua umeolewa na kiti au kigoda a kitanda... the clock stopped a while ago; ungesogea kidooogo labla na jamvi

Komalia maisha acha kuhangaikia wanaume; tafuta maisha

Hii ya nani yuko wapi au sijui nini ni kujipotezea muda tu... tafuta maisha ushinde maisha, sio unatafuta mambwana utaishia kulishwa tu
 
Umenikumbusha mikutano ya kampeni meru. Lema alisema " kama mkimchagua aliyetoboa sikio, nitahama tz, Hii kulaan nchi"
 
Alikuwa stanbic bank, alivyoacha kazi mshkaji wake bashir awale nae kaamua kuondoka
 
Huyu jamaa nilimuona monduli tareh 01/01 kwenye ibada pale kkkt monduli then nyumbani kwa baba mkwe wake.
 
Sioi yupo, anaapply ile methali isemayo: Mwenda pole.....
 
Sioi yupo, anaapply ile methali isemayo: Mwenda pole.....

Hajikwai....akijikwa haanguki....akianguka haumii....akiumia halazwi hospitali...akilazwa hospitali hawekewi drip....akiwekewa drip atapona, mwisho atakuwa amechelewa kufika anakokwenda
 
Sioi yupo, anaapply ile methali isemayo: Mwenda pole.....

ww sasa umenena, ila una uhakika na unachoKINENA?ila kiukweli pia nashauri asicheze mbali na Arumeru maana ile ilikuwa mara yake ya kwanza mara ya pili wananchi waweza kumkubali...asiachie nassari ajitawale, ilibidi aendelee kumbana ili aone kama 2015 atakuwa katika mpambano, binafsi nitasikitika kama nassari ataendelea ivi na hatimaye 2015 akapita bila mshindani...sisi wananchi tunapenda ushindani uwepo ili mmojawapo akipata akacheza tunamng'oa...na si rahisi kushinda kama kila uchaguzi anasimamishwa mtu mpya...ivo Sioi angefanya utaratibu akawa anainvest kule,kwa mtindo huu Mh Nassari atapita bila kupingwa. Ni mawazo yangu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom