Recent content by Ibuuu

  1. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

    Kwel asee
  2. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania #Simba Mbele Kwa Mbele km CCM...

    Ila mm sio mwana CCM jmn msije ni vaa bure
  3. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania #Simba Mbele Kwa Mbele km CCM...

    Naipenda timu yangu Tunaongoza 1-0 dhidi ya JKT Ruvu
  4. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania E-Fm mnaboa

    Mziki wa wazaramo na wakwere...
  5. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania CCM imeishiwa pumzi, upinzani upo ICU, nani atuongoze kwenye mapambano ya ukombozi?

    Tanzania hakuna mpinzani wa kweli, yanayoendelea serikali na upinzan wanakkaaa na kukubalia, mm nilishuhudia arush mnaandaman yakuja magar ya polis yanawatoaa viongoz wa chadema afu ss wananchi tunapigwa na polis, bado sanaaa.
  6. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Hawa watu ni hatari kuliko hata magaidi wote duniani

    [emoji37][emoji37][emoji37] hii laan
  7. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari ITV KHALFAN arudishwe ndani kwa madai kwamba wao polisi hawana kesi na KHALFAN

    CCM mbele kwa mbele, hakyamung, naon kwel mtu alitaka kukimbia tena kweny mteremko wakati hana brake na mbele kuna kona kaliiiiii....... Tumeisoma namba na wakati huu tunazisoma alphabeti #UhuruWaKujieleza
  8. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Ngoka 11 ndio ilikuwa iwe mwanzo wa kufungua milango ya tiba kupitia dawa asilia

    Bongo kila kitu kisip mnufaish mkubwa yyt wa nchi lazima kitupwe kule
  9. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania E-Fm mnaboa

    Kweli
  10. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Jiunge, utupie nyimbo kali marafiki wa west Africa waone

    Duuu upo mwenyew ndugu
  11. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usilalamike, Wewe ni mmoja wa waanzilishi wa siasa za "kuchafuana" na "kutesana"

    Inapand, inashuka, kenge bana yaan akisikia matone ya mvua anakimbia na kwend kudumbukia mton kwenye maji, [emoji22]Maskin kama namuon Mwigulu vile...
  12. Ibuuu

    JamiiForums Tanzania Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    Ila kweli mfanyakaz wako anapotea unakaa kimy? Hata km ulikua nje ya nchi wapo watu ungweza kuwatuma wakakutolee taarifa kw wana ndugu. Sio poa Mbowe omba samahan kwa hili.
Back
Top Bottom