adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,035
- 15,540
tanzania mbowe alivyoingia ccm kisiri hadi leo hajatoka!ana kamisheni kubwa sana kwenye vyama vyote!kama una akili timamu amini kwamba tz bado hamna upinzani lema na lisu wamejaribu kidogo ila sasahivi wamefyata watasubiri 2020 ndio wafufuke tena!upinzani bado wanatufundisha uoga