King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Ndugu Yangu Mimi Ni Fan Wa Kingkiba Na Ndio Maana Nimetoa Ushauri Wa Kujenga.Sasa Kuhusu Masuala Ya Ticket Yanaingiaje Hapa
Kwa taarifa, yako tiketi zimekwisha zote za elfu 30 zimebaki za laki si pesa na ma bosa, wanategemea hadi saa 12 jioni zitakua zimekwisha
 
Mkuu kama hiyo yoooh inakukera weka ya kwako,mi bila kusikia hiyo yoooh bado huwa siamini kama ni king kiba..usiforce tufanane kila mtu ana ubunifu wake
Ni Kweli Bila Kusikia Yooo Huwezi Kujua Kama Ni Kiba Kwasababu Ndio Alioutengeneza Tena Usio Na Faida Yoyote

- Anazidiwa Hata Na Ommary Nyembo Ambaye Kaibrand PKP Na Uwezo Kuifanyia Chochote

- Sasa Kiba Anataja Majina Ambayo Hayawezi Kuwa Pesa
 
Msikilize Rick Ross then Msikilize Jada Kiss utaelewa.

Ile ni identity bro inamsaidia msanii kujitofautisha na wengine
Kwa Rick Ross Huwa Tunasikia Maybach Music, Huwezi Kukuta Msanii Wa Majuu Anataja Maneno Yasioingiza Pesa
 
Aliyeleta hii dhana Ya mziki ni pesa tu watu mnataka mpk identity Ya mtu iwe pesa ni kweli ila wat for ?
Leo Alikiba Anauza Kofia Zinaitwa KingKiba

- Pop It In ( Papleee ) Ni Nini ?

- Kiba Spuare Ni Kitu Gani ?

- King's Music Ni Kitu Gani,

- Na Yoooo Ni Nini ?

Huu Ni Mpuyango Og Kwa King Kiba.
 
Back
Top Bottom