Recent content by Ibusai

  1. Ibusai

    Uwanja Wa CBG kwa ngazi ya professional

    Ahsanteni kwa mawazo yenu wandugu. Nimepata points za Msingi kabisaa
  2. Ibusai

    Uwanja Wa CBG kwa ngazi ya professional

    Ahsanteni kwa Maelezo yenu. Yatanisaidia
  3. Ibusai

    Uwanja Wa CBG kwa ngazi ya professional

    Ahsanteni sana ze heby and wizy
  4. Ibusai

    Uwanja Wa CBG kwa ngazi ya professional

    Physics C and Maths D
  5. Ibusai

    Uwanja Wa CBG kwa ngazi ya professional

    Habari wanajukwaa. Nimepangiwa CBG Dodoma secondary. Nilikuwa naomba ushauri kwa Mambo mwili. Mosi. Je nikisoma CBG uwanja wake ukoje katika kusomea professional? Pili. Je naruhusiwa kubadilisha ili nisome PCB? Malengo yangu ni kuwa katika idara ya afya (Medical officer,Nursing, pharmacy, Lab...
  6. Ibusai

    Msaada please

    Nimenunua laptop aina ya LENOVO B50-30. Window 7 bit 32.Lakini kinachonishangaza ni kwamba hawezi kucharge phones wala kusoma usb ya phone. Tatizo litakuwa nin maana nimejaribu kudownload na kuinstall free usb drivers lakini bado haisomi, zingine zinakataa kabisa.
  7. Ibusai

    Soko la Mbaazi linalomnufaisha mkulima na wasafirishaji ni BM Impex

    Wew unauhitaji au unazuga? Weka bei kama kweli uko serious maana mbaazi zipo nyingi za kutosha.
  8. Ibusai

    Hisa hisa hisa hisa

    Biashara gan ndugu na ueleze angalau mchanganuo wake, hisa ni kiasi gan.. Weka mambo wazi ili wadau wachambue na kujiridhisha, mbona kama unaficha.
  9. Ibusai

    Uongo Mtakatifu Kwenye Upigaji Kura za Wazi Kwenye BMK!. Hakuna Yeyote Aliyetumwa na Mtu!.

    Kosa kubwa lililofanyika ni kubadili kanuni, badala ya kupigia ibara mnapigia sura. Na hii ndo matatizo yake mtu anaona haina umuhimu kwa vile akikataa baadhi ya sura na baadhi ya ibara zingine azikubali tayar kura imeharibika so its better to say Yes or No. Hata sioni mwenye unafuu hata mmoja...
  10. Ibusai

    Uchambuzi: Katiba yakwama, Zanzibar wapiga kura kuikataa, Washindwa kufikia 2/3 majority

    Well explanation mkuu, yaan walihitaji only Three members to say NO
  11. Ibusai

    Viongozi wa UKAWA waibuka na madai mapya tofauti na tamko la TCD

    Hapo kinachoonekana ni kuzidiana mbinu za kisiasa na uelewa kati ya TCD na upande wa JK, ukisoma vizur maelezo ya cheyo amejaribu kuzungumzia swala kwenye hatua ya mwisho ambayo ni kupiga kura tena kama itarudiwa, kama maana hiyo upande wa pili JK wamejiridhisha kwamba. wamalize hii hatua ya...
  12. Ibusai

    Mkutano wa Rais Kikwete na TCD: Vyama vya siasa vyatakiwa kuweka utaifa Mbele

    Hapa Tz ni unafiki mwingi hakuna la maana! Najiuliza ni possible kubadili red kuwa njano nikimaanisha kwamba ni yuleyule m/kiti aliyesimama na mwenye kubeba ujumbe wa chama chake kwenye ufunguzi wa BMK na ndo chanzo wa maswala yote haya, hv leo hii syo m/kiti tena? Halafu hawa wahadhiri wa vyuo...
  13. Ibusai

    Suluhisho Mujarab Kutatua Mgogoro wa Idadi ya Serikali Hatimae Lapatikana!

    Mkuu inawezekanaje kwa muundo wa serikali 2 na ule wa serikal 3 kuwa na the same contents hivyo ni vitu viwili ambavyo hafipikiki chungu kimoja. Cha msingi ni kuweka katiba ya ambayo ni rasimu ya II na hii iliyopo sasa ya 1977 lakin ifanyiwe marekebisho kuhusu tume ya uchaguzi kuwa huru na swala...
Back
Top Bottom