Watumishi wa umma: Huduma ya Watumishi Portal inafanya kazi?

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,083
6,922
Naomba kuuliza kuna mtumishi anaetumia huduma ya Watumishi Portal amefanikiwa kulog in.

Kwangu ni wiki ya pili sasa imegoma kabisa.
 
Jisajili upya,au badilisha Password.Hata mimi ilikuwa inagoma lakini baada ya kufanya hivyo naweza kuingia na kujua taarifa zangu.
 
Nikibadili password inajibu sijahakiki akaunti.
Jisajili upya,au badilisha Password.Hata mimi ilikuwa inagoma lakini baada ya kufanya hivyo naweza kuingia na kujua taarifa zangu.
 
utakuwa Mtumishi hewa, nenda kwa afisa utumishi wako ukiwa na vyeti, na pocha za mahafari.
 
ili korokoro lilishawashinda kuliendesha kitambo sana
kilichobaki ni kupeleka shida zako kwa hr, akizipokea, unaenda kwa babu unamroga ili azifanyie kazi kwa haraka.
 
Back
Top Bottom