Ibusai
Member
- Apr 25, 2014
- 40
- 4
Habari wanajukwaa. Nimepangiwa CBG Dodoma secondary. Nilikuwa naomba ushauri kwa Mambo mwili.
Mosi. Je nikisoma CBG uwanja wake ukoje katika kusomea professional?
Pili. Je naruhusiwa kubadilisha ili nisome PCB?
Malengo yangu ni kuwa katika idara ya afya (Medical officer,Nursing, pharmacy, Lab Officer and MD).
Nategemea mwongozo wenu wanajukwaa.