Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Mkuu uko sahihi ila unaongelea akishakuwa dokta!!Hahahaha wewe jamaa daah.
Kwenye kutibu hazitumiki nguvu mkuu. Yeye kama dr. Atatafuta watu wamweke ng'ombe kwenye eneo maalumu na kutibu
Mimi nasemea akiwa mwanafunzi maana huwa wanapelekwa kule magadu kufanya prac....na huko lazima uvutane na ng'ombe mbuzi kondoo farasi punda bila kusahau ngamia!!
Sasa kwenye purukushani kama hizo lazima awapige mtama ng'ombe na ikiwezekana hata ngamia! Je akiwa sharo ataweza???