Recent content by Ibravo

  1. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    [emoji23][emoji23]
  2. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Daaah!! Ila watu aisee,mtu yuko na stress zake kuhusu mafao yake, wewe unamuongezea mambo mengine ya kutafuta udhaifu wa uandishi wake.
  3. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nimetotolesha vifaranga 500 vya kuku wa kienyeji

    Hongera sana mkuu
  4. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Mkoa wa Pwani ni shida sana aisee ktk mambo ya ulozi. Haya mambo kila sehem yapo ila Pwani shida ni kwamba wenyeji hawafanyi kazi ipasavyo ila mgeni ukitia nanga ili ufanye jambo wanaona wivu na kuanza kukuletea mambo ya gizani. Kuna ardhi nzuri sana yenye rutuba isiyokua na muendelezo wa kilimo.
  5. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mada ya kubet[emoji38]
  6. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Sasa na shemeji yako atamuacha akikutana na totoz za SUA😆
  8. Ibravo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    Sure,unapofeli ktk mambo yako utachekwa na kusemwa vibaya kinyama utadhani hata msaada walikupatia na kama walikupa msaada ukajisahau kuto fadhira basi utasimangwa mpaka ukajuta kwanini walikusaidia.
  9. Ibravo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    M May be mpo wachache ndo maana mnathaminiana sana ktk nyakati hizi,kwangu mimi yote aliyoorodhesha mtoa mada yanaakisi maisha yangu na ndugu zangu. Sikatai kwamba ktk kunikuza ndugu wamenisaidia ile uko home sembe inapikwa na unakaa chini unakipiga cha ugali ila baada tu ya umri fulan unachiwa...
  10. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na kuombwa pesa kila siku na vijana

    Utasikia 'Hebu fanya mpango wa ten hapo'
  11. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya wafanyakazi 600 yawakuta TPA......

    Haaaaahaaaaaahaaaaaaa Nimecheka mpaka bhass haaaahaa
  12. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu kwa mtaji wa milioni tano

    Daaaah wazo zuri sana tena una uzoefu na hayo unayotarajia kuyafanya basi naamin mungu atakusaidia kwa yote sababu una nia na uthubutu. Mungu akutangulie.
  13. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Upandaji wa miti yakibiashara

    Am inspired.
  14. Ibravo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abdul kiba na queen darlin ni wasanii wasio na vipaji ila wanaforce kufanya Muziki

    Kweli kabisa bora waache kuimba wafanye kazi nyingine.
  15. Ibravo

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    B Bei sawa na bure wakati unalipa pesa!!!!!
Back
Top Bottom