cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,129
Huu wizi, usipostaafu?Mimi Nilikuwa private sector…
Nilipopata ajira serikalini nikaambiwa mfuko wAngu kwa sasa ni Pssf…
Nikaamua kuwafuata NSSF wa nipe mwongozo wa pesa zangu nilizochamgia kwao….
Wakaniambia kwamba nisubiriiiii hadiiiii ninapostaafuu….….…



