Recent content by ibrahim chisanga

  1. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

    Matokeo wadau
  2. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Pata mikopo na Opportunity Tanzania Ltd

    Mashart yakoje mkuu... Mm niko pwani
  3. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha azam kinahitajika

    Hi..... Nina sh 90000 nahtaji king'amuzi cha azam kiwe kipya au used Kwa mwenye nacho pleas ni PM Kwa mawasiliano zaid
  4. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Mnamfahamu huyu mrembo!

    Instagram kamuombe namba zake
  5. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

    Safi sana mkuu
  6. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtoto akiamka analia?

    Hi wanaJF Kama kuna mwenye uelewa juu ya hili la mtoto akiamka analia basi naomba anijuze tafadhali
  7. ibrahim chisanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Polen wana jukwaa hili la love connect.... Mm ni kijana mwenye umr wa miaka 24 Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba Sifa za mwanamke nimtakae... Awe mrefu wastan Rangi yoyote Asiwe mlevi Elimu yoyote Kabila lolote Umr miaka 18-24 Mm ni mwajiriwa serikalin lakn pia ni mfanyabiashara mbalimbali...
  8. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua mwalimu Kibiti

    Kuwa na lugha nzur.... Nimefelisha mtoto wa baba yako""
  9. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua mwalimu Kibiti

    Mm pia ni mwalimu hapa shule ya msingi kibiti Xo nilikuwa buzy na taratbu za mazishi na Tunamshukuru mungu mazishi yamefanyika saa nane mchana
  10. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua mwalimu Kibiti

    Samahan nilikuwa kwenye taratbu za mazishi Ni mwalimu shule ya msingi nyamakonge iliyopo wilaya mpya ya kibiti. Pia anaitwa mwl juma mminge
  11. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua mwalimu Kibiti

    Napenda kuwataarifu ya ajali iliyotokea hapa Kibiti Mwalimu mwenzangu kagongwa na gari yeye alikuwa anaendesha pikipiki Pia hapohapo mzee mwingine kagongwa na gari za kusini...ila sijapata taarifa nzur
  12. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni barabara hii

    https://tapatalk.com/shareLink?url=http%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Findex.php?threads/943051/&share_tid=943051&share_fid=8678&share_type=t Serikali angalieni barabara hii
  13. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari miaka kumi ijayo na kuendelea ...

    Hadithi za kusadikika
  14. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Ndimbo wa Times FM acha chuki na klabu ya Simba?

    Chuki binafsi mkuu Hata yanga anaiponda xema limekugusa la simba tu
  15. ibrahim chisanga

    JamiiForums Tanzania Abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato

    Mpige picha kwanza tumuone
Back
Top Bottom