Ajali yaua mwalimu Kibiti

Sep 27, 2015
83
15
Napenda kuwataarifu ya ajali iliyotokea hapa Kibiti
Mwalimu mwenzangu kagongwa na gari yeye alikuwa anaendesha pikipiki
Pia hapohapo mzee mwingine kagongwa na gari za kusini...ila sijapata taarifa nzur
 
Jaribu kutoa taarifa za kutosha. Mfano:
Mwl. nani?
Anafundisha wapi?
Mwenyeji wa wapi?
Gari aina gani lililomgonga na ktk mazingira yapi.
 
Akili ya mtu haiongezwi kwa madarasa, huzaliwa nayo, darasani tunanoa tu akili iliyopo.
Tunafanya makosa makubwa sana kuwaamini watu wote waliopitia madarasa.
 
Jaribu kutoa taarifa za kutosha. Mfano:
Mwl. nani?
Anafundisha wapi?
Mwenyeji wa wapi?
Gari aina gani lililomgonga na ktk mazingira yapi.
Samahan nilikuwa kwenye taratbu za mazishi
Ni mwalimu shule ya msingi nyamakonge iliyopo wilaya mpya ya kibiti.
Pia anaitwa mwl juma mminge
 
Kajifunze kwanza uandishi ndio urudi hapa. Walimu kama ninyi ndio mnaofelisha vijana wetu mashuleni. "Ajari" ndio upuuz gain? Half bila aibu eti" mwalimu mwenzangu"
 
Back
Top Bottom