Abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Jamani eeeeh!
Nipo kwenye dala dala hapa natoka kibaruani na kwa mji wangu. Nimekaa Nimekaaa siti karibu na mlango wa conductor, abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato.

Nashangaa konda na wengine ote humu ndani hawaoni. Hapa napost huku natetemeka. Nimejaribu kunyanyuka ili nishuke, kanisukuma chini kwa nguvu, bega mpk linauma.

Abiri ni mwanamke, na anaonekana mrembo huyu! Naomba ushauri, je nipige nae selfie au? Nishaurini nifanyeje, mana nishapitiliza kituo changu cha home, naogopa nikishuka na yeye atashuka na mimi.
 
Kuna mada ambayo mwana JF anaomba dawa za magonjwa ya akili zisambazwe kwenye hospitali za mikoa yote. Haya matatizo ya uhaba wa dawa mikoani yanaanza kudhihirika humu JF sasa...
 
Wanaume wa Dar hao. anaogopa kushuka kwenye daladala eti atashuka naye. shoga nini
 
Back
Top Bottom