Recent content by ibrah_alesalas

  1. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule bora ya wasichana(O-level) Pwani, Dodoma au Morogoro

    Zamzam girls high school Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Haya wale

    Hakuna jipya Yale Yale
  3. I

    JamiiForums Tanzania Haya wale

    Mliemtaka kaja
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Hakuna kitu kama hicho, juzi tu huyu alikuwa katika mkutano WA kumpitisha mheshimiwa yani kwa wiki 3 tu apukutike hivi. Acheni kuunda mambo haiwezekani sio mmemphotoshop hata wewe tupia picha yako nikukondesheeeee
  5. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Mungai alikuja NA physics with chemistry
  6. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Sekta ya elimu ipo worldwide, haitakiwi kuichezea kama rede. Umefika wakati sasa WA kutengeneza sera thabiti ya elimu ambapo itumike kipindi vipindi vyote vya serikali..... Kiongozi aingie tu kusimamia sera si kuingiza matashi yake. VIONGOZI wetu MUACHE sifa.... Kama mmepanga kuwaadhibu walala...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Jamani huyu mama kweli Profesa! Aache jazba huu mchezo hauhitaji hasira
  8. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Geita nije Dar, Pwani, Moro halmashauri yoyote.......... Idara msingi.......... Mawasiliano: 0653 338 525
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mkopo ni kwa kozi za sayansi, teknolojia na walimu wa masomo ya sayansi

    Wametutafuta kututoa KO katika vigezo vya kuingia chuo sasa Wametutafuta tena kwenye MASOMO kutopata mikopo.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mkopo ni kwa kozi za sayansi, teknolojia na walimu wa masomo ya sayansi

    Hatimae serikali yafikia kilele cha kuipandisha hadhi SAYANSI NA TEKNOLOJIA baada ya guided book kwa wanafunzi Waliomaliza NA kuhitaji kutumia matokeo ya kidato cha 6 kuingia shule kuonesha NON-PRIORITY kwa kozi zote tofauti NA kozi zinazohusu SAYANSI na TEKNOLOJIA.
  11. I

    JamiiForums Tanzania DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

    Huyu jamaa Ana hira za kihaya, acha sifa nenda chuo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za walimu zitatoka lini anifahamishe plz

    Unaboa, ajira hazina siri wewe subiri au umekosa cha kuandika
  13. I

    JamiiForums Tanzania Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

    Wote mmerogwa na aliyewaroga kafa, angekuwa hai angewaonea huruma...... Mnataka ushauri na wamama ushauri wote akili zero...... Mna IQ ndogo........ Acheni udini nq hiko chuo si cha kiislamu ni mchanganyiko na wanaosimamia ni watu kama nyie Wana madhaifu mengi kama yenu tena yao yaweza kuwa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo Geita halmashauri ya Wilaya ya Geita. Idara Msingi. NJOO HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA_MKOA WA GEITA, mimi nije Daressalaam wilaya yoyote Ile au Pwani halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo au halmashauri ya Wilaya ya Kibaha au Chalinze. Mawasiliano : 0656004147
  15. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchagua vyuo kupitia NACTE

    Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya ualimu anataka kusoma degree sasa ameshafanya malipo nacte akiingia kwenye option ya kuchagua vyuo vipo vyuo vichache anavyotaka yeye havipo mfano DUCE, UDOM, UDSM NA MZUMBE. Tunaomba msaada WA ufafanuzi jinsi ya kuweka machafu ya vyuo hivyo. Ana ufaulu...
Back
Top Bottom