DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

DBB+ Nimeambiwa Sina sifa

Halafu sijaona application deadline kwenye guidebook sasa Sijui hili limekaaje?
 
Wamenibadilishia kutoka matokeo halisi ya mwaka Jana yani
PHY D CHEM B BIOS B+ Kwenda PHY F CHEM D BIOS C
Mungu wangu! naona Ndalichako kaamua, itakuwa wameamua kuzipandisha kwa level ya 2014 kurudi nyuma maana nyie mlishushiwa, hapo huna ujanja apply diploma tu...issue sio tu kwamba B iwe sawa na C bali hiyo C yenyewe iwe na marks za C ya 2014 kurudi nyuma...hehehe

Au kama huna haja na udaktari apply kozi nyingine isiyotaka ufaulu wa physics tofauti na hapo apply diploma tu.
 
Hiyo d na c ni point ngapi?
 
Sasa nifanyaje wakati guidebook imesema lazima uwe na point NNE. Yan two c's
Mbona points ziko vizuri? una D, B na B+ unajua tayari hizi ni points ngapi? Au hujui unachotaka usaidiwe?
 
Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level? Msaada jamani
Hiyo ni SEC
 
Physics baada ya kubadilishiwa ana F Ndio maana huna sifa za kuaply MD/PHM dogo
 
Nenda Karimjee leo, kuna maonyesho ya taasisi za elimu ya juu. TCU, NACTE na HESLB wapo pia. Utapata ufafanuzi na ushauri
 
Back
Top Bottom