Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu
principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake
serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi
uksema unatishiwa kufukuzwa chuo,
wakufunzi wanaacha kaz kutokana udikteta wa principle naye hajal
jaman tumechoka kunyanyaswa ilhal tunalipa ada

Hili Ndiyo Tatizo La Watu Kutokuhudhuria Darasani Pale inapofika Wakati Wa Kipindi Cha Kusoma "COMMUNICATION SKILLS" yaani Watu Wanajadili Kero Za "College" as a College! Wengine Wanaanza Kuingiza Udini!! Hivi Uislamu Na College umehusiana na Nini??
Je Shule Zile Zilizokuwa Si Za Kiislamu Zilizofanya Vibaya Zaidi Katika Mtihani Wa Taifa Wa KIDATO CHA 4 itakuwa Busara Kuzilaumu taasisi za Dini Nyengine, au utakuwa ni Ujinga??

Mimi Nadhani Kwa Yoyote Aliepitia Chuoni Basi Utanisaport Kwa 100% kuwa Vyuo vyote Nchini Tz havikosi Kero Na vyengine Kufikia Mpaka Wanafunzi Kugoma, au Kuna Anaebisha.

Uislamu ni Uislamu! Wala Haumiliki College, Wanaomiliki College ni Watu tu Matajiri Waliounda Vyuo Kibiashara.
 
Usipende kutumia jina la nabii au kiongozi mkubwa wa dini kuonesha hisia zako ni mambo ya kiimani zaidi jitahidi utoe facts kuhusu point husika,OTHERWISE na wewe utakuwa umesoma institution inayofanana na hiyo hata kama ya dini unayoipenda na kuiyaimini
Kwani huyo muhamad yeye ananini cha ziada?si ni mtu kama mimi tu.
 
hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu
principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake
serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi
uksema unatishiwa kufukuzwa chuo,
wakufunzi wanaacha kaz kutokana udikteta wa principle naye hajal
jaman tumechoka kunyanyaswa ilhal tunalipa ada

Jina lenyewe ni Al Haramia, unategemea nini? Tafuta kwingine hapo hakuna elimu!. Kusoma hujui, na picha huoni?
 
Tulisoma pale chuo kilikuwa bomba tu, ada tulilipiwa kila kitu, NA kilikuwa namba moja.
kina product nzur ya walimu wanafunzi, wakina Dr AME. mleta uzi amekosea kuja JF. one of the best performing college Tanzania
 
Of all the teachers' Collages we have in Tanzania umeona usomee hapo?
Colleges=Sahihisha kidogo; Teachers'= possessive noun- nadhani hukumaanisha hivyo. Tunaelimishana nami sijui hapo sahihi ni ipi
 
Ndo kile kunaitwa wipas kipo kibaha?

Mwenye shamba, Wipahs ni taasisi inayomiliki kile chuo cha Kibaha wana majengo na facilities nyingi nzuri ila haziendani na ubora wa elimu inayotolewa pale. Niliwahi kufundisha pale 2006 tatizo walikua hawana walimu wazuri ila kwa malezi ya mtoto nawakubali sana.
 
Wewe unasoma St. MUHAMMAD unategemea nini?
mfikishaji ametoa lalamiko juu ya yanayoendelea ktk taasisi husika, ili ujumbe ufike na suluhisho litafutwe, suala la kudhalilisha imani ya watu linakujaje hapo, kuwa makini katika kuchangia mada, vinginevyo kukaa kimya pia ni busara
 
Kanisa Katoliki limejipambanua kwa kutoa Huduma Bora za Elimu na Afya si Tanzania tu bali duniani kote . Al -Haramain igeni mazuri ya Taasisi za kanisa Katoliki. Takbiiiir.
 
Unafiki wa takbiir nao pia aah aisee hawa watu wanaposikia jambo lolote kuhusu uislamu huwa wanatumia nguvu kubwa sana kupinga ili ionekane so lolote, jomba uandishi wako ww hauuchafui hata nukta uislam bali unazidi kuonesha chuki tu jitahidi kujadili mada
 
Wote mmerogwa na aliyewaroga kafa, angekuwa hai angewaonea huruma...... Mnataka ushauri na wamama ushauri wote akili zero...... Mna IQ ndogo........ Acheni udini nq hiko chuo si cha kiislamu ni mchanganyiko na wanaosimamia ni watu kama nyie Wana madhaifu mengi kama yenu tena yao yaweza kuwa madogo zaidi yenu
 
Ni ukweli usiopingika pale ni very strategic kwa taasisi ya Elimu Lakini matokeo yake wamejaza maduka ya vipuri chakavu kila kona. Jiongezeni Tanzania ya Viwanda YAJA tusilaumiane.
 
hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu
principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake
serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi
uksema unatishiwa kufukuzwa chuo,
wakufunzi wanaacha kaz kutokana udikteta wa principle naye hajal
jaman tumechoka kunyanyaswa ilhal tunalipa ada
Mnajitakia wenyewe kwenda kusoma kwenye vyuo ambavyo havipo Focused.
 
Back
Top Bottom