Unaniuliza kuhusu torati na sina elimu nayo,na kuhusu Maryam mama yake Yesu anaitwa Binti Imran kwa sababu ni kutokana na kizazi cha Imran na walikua watu wa wakati huo wakiitwa kwa majina ya Mitume wao na watu wema kabla yao.
Na kulingana na Quran Manabii wote wana kinga ya kutokosa katika...
Sisi Waislam hatubagui Manabii wa Mwenyezi Mungu tunawakubali wote kuanzia baba yetu Adam(A.S)na wengine wanaomfuata kama Nuhu,Ilias,Zakaria,Daudi,Suleiman pamoja na Nabii Ibrahim(A.S) na uzao wake wote mpaka Musa,Isa mnayemuita Yesu na mwisho Mtume Muhammad Rehma na Amani ziwe juu yake...
Umejitahidi ila unapaswa kujua kuwa Quran imeteremshwa kwa lugha ya Kiarabu na lugha ya Kiarabu ni lugha ya jamii ya Semitic ambapo kuna lugha pia ya Kiebrania,Amhara,Tigrinya,Aramaic,Maltese na Kiarabu hivyo maneno kufanana si ajabu.Kwa mfano ili uelewe vizuri ni lugha za kibantu unakuta maneno...
Hebu tuambie ni wapi Wapalestina walikaribishwa qakataka kupafanya kwao,na ukishindwa nakushauri umuogope Mungu na uache kusingizia binadamu wenzio ambao hawana makazi nani wakimbizi kwani Mungu aliekupa amani na usalama ndio aliewapa vita Mungu hakushindwa kukufanya wewe uww kwenye vita.Na pia...
Kazaliwa Somalia nchi isiyo na serikali ya kueleweka,kweli kabisa,lakini mwenzako yeye ni senator je wewe uliezaliwa kwenye nchi yenye serikali una nn?
Kwa kweli umeanza vizuri sana nikupongeze kwa hilo,ila swali langu ni kwanini unasema Uislam ni upagani wa kuQureysh ni nini kilichokufanya useme hivyo?
Fafanua tafadhali
Kujiuliza kuhusu imani au jambo lolote kimaisha ni ishara njema inaonesha wewe unajitambua,la kufanya nenda Msikiti ulio karibu nawe au zungumza na mtu unayejua kua ana uelewa wa kutosha wa kidini fanya research,naamini utafanya chaguo lililo sahihi au kama vp niadd unielezee ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.