Recent content by ibnbatuta

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho nitumie dawa gani?

    Huyo mdudu anaitwa Dingu dawa yake tafuta mafuta ya mshobo ujipake
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada matibabu ya uric acid

    Punguza kula vyakula vyenye protein kwa wingi itakusaidia kiasi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na wanae wafika Ikulu kutoa shukurani kwa Rais Magufuli

    Inaonekana ulawiti na ubakaji viko kwa damu ya famili hii maana walifungua kituo kama danguro la kuwadhalilisha kingono watoto wadogo ni fedheha kujipanga mitaani kuwakaribisha wakati wazazi wa watoto wale kumi bado wanasononeka,kama unafurahia kuachiwa kwao wewe sio mzazi na hujui uchungu wa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kidaktar kwanini kila nikiona wanawake wenye makalio makubwa moyo Wang huenda mbio

    Me nakushauri tafuta wataalamu wakufunge speed governor ya moyo maana uendavyo kasi na Tanzania yetu hayo mambo yamejaa kila kona utakutana na tochi za traffic
  5. I

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Ajaribu kukataa yamkute kama ya Sajenti Samuel Do wa Liberia
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Iko siku utapata ana practice practical baada ya kuangalia theory kwa sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Wewe ni mtaalamu wa kuandika hii ni kama movie vile
  8. I

    JamiiForums Tanzania Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Toa cost ya kuyakarabati tulinganishe na muda yatakayokaa barabarani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Inawezekana ukapona kwa cabbage lkn napata wasiwasi kama asali inaweza kutibu maana asali yenyewe inadhuru sana kwa wenye vidonda vya tumbo au labda ni asali maalum Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuacha mapenzi kinyume na maumbile

    Acha dhambi haraka kabla hujaumbuka itafikia mda tundu ya haja ndogo itaziba kwa kinyesi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Je nahizi pia ni dalili za kuungua (hiv) ?

    Acha nidhamu ya woga piga moyo konde elekea Angaza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya HIV vinanichanganya

    Mistari ya nini hiyo? Mashairi au ngonjera? Me najua ukipima kwa capillius method kama majibu ni utata wanatumia Unigold na unigold ni fainali kama imeonyesha positive hakuna mistari wala ubeti elekea kitengo ukaanze kitengo
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kutokwa na usaa kwenye uume

    Juice ya pilipili changanya na diazone inatibu
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi kwenye mitandao

    So Gilbert inamaanisha hao wametengeneza sumu than wakakosea wakaandika Paracetamol au vipi? Au wamefanya makusudi kutupunguza ili uchaguzi ukifika 2020 tuwe wachache kwenye election?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ukijiunguza Uume na pasi ya Mkaa/Umeme wakati unayoosha first aid yake ni nini?

    Osha haraka sehemu iliyoungua kwa kutumia maji ya betri(acid)
Back
Top Bottom